Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
WANAWAKE, kila unapohisi na kutaka mwanaume akupe pesa au akununulie kitu lakini hana uwezo wala fedha , na ukashawishika kusema MWANAUME AMEFULIA au ANAUMI-MI, Jipige kifua chako na ujiambie: “HAPANA, MIMI NDIYE NIMEFULIA KWA SABABU SIWEZI KUMUHIDI NINACHOTAKA BINAFSI..”
MWANAMKE tanguliza mapenzi, fedha zitakuja tu! Fedha hazitoshi na hazijawahi kutosha!
Kwa bahati mbaya Broke Women NEVER Believe they are broke, wanadhani wanatoka kimapenzi na mwanaume asiye sahihi kwake..
Fanya kazi uwe na pesa zako dada, PESA NI UNISEX !...