Siwezi Kutoka na Mwanaume asiye na Hela!

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
15,835
Reaction score
23,776

WANAWAKE, kila unapohisi na kutaka mwanaume akupe pesa au akununulie kitu lakini hana uwezo wala fedha , na ukashawishika kusema MWANAUME AMEFULIA au ANAUMI-MI, Jipige kifua chako na ujiambie: “HAPANA, MIMI NDIYE NIMEFULIA KWA SABABU SIWEZI KUMUHIDI NINACHOTAKA BINAFSI..”

MWANAMKE tanguliza mapenzi, fedha zitakuja tu! Fedha hazitoshi na hazijawahi kutosha!

Kwa bahati mbaya Broke Women NEVER Believe they are broke, wanadhani wanatoka kimapenzi na mwanaume asiye sahihi kwake..
Fanya kazi uwe na pesa zako dada, PESA NI UNISEX !...
 

Attachments

  • w.jpeg
    85.4 KB · Views: 5
ni kauli za wafanyabiashara wa mapenzi hizo ambao hivi sasa wengi miongoni mwao wanajuta na kuteseka kwa namna ambavyo biashara hiyo imewaharibu na kubomoa huko chini kwa namna ya ajabu sana 🐒
 
Maria na uzri + ubikra wake alinasa kwa Fundi Selemala.

Acheni kuchagua chagua.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…