Siwezi Kutoka na Mwanaume asiye na Hela!

Very true, broke women na those wasio ambitious in life ndiyo wana complicate maisha. Kila dakika wanabadili status kutafuta mtu wa kuwatunza na kuwaweka mjini. Mwanamke anayejiamini hawezi hata siku moja kujidhalilisha na kuongea utumbo wa namna hii.
 
.Tattizo wanawake wa leo wanapenda watu kwa kile kizuri wanachokiona kwa macho mfano gari nyumba nzuri, n.K bila kujali mtu mwenye upendo.
 
Well narrated, haya ndio maisha na hao huwa hawadumu kwenye ndoa.
 
.Tattizo wanawake wa leo wanapenda watu kwa kile kizuri wanachokiona kwa macho mfano gari nyumba nzuri, n.K bila kujali mtu mwenye upendo.
Na upendo huwa haujalishi mali , pia wapo wenye hizo mali na upendo pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…