Siwezi Sahau: Mazingira ya sisi wanawake kuliwa kimasihara

Siwezi Sahau: Mazingira ya sisi wanawake kuliwa kimasihara

Ma Mshuza

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2019
Posts
251
Reaction score
1,255
Huyu kaka nlikuwa namwona akiwa hostel pale hall 4 chumba cha chini kabisa alikuwa anakaa pale na mwenzie. Mimi nlikuwa upande Opposite ila ghorofani.

Mara nyingi nlikuwa namwona mpole ila anasalimia then busy flani hivi. Jioni alikuwa anapenda kwenda gym akirudi anaenda kuoga then anakuwa na boxer tu room.

Mimi nilikuwa namwona yeye hanioni sababu nlikuwa juu ghorofani. Basi siku hiyo nmekutana naye harvard tumekaa meza moja tunakula.akaagiza matunda yalipoletwa akaniwekea na mimi kwenye sahani bila hata kuniuliza.

Na kunambia yamalize please for me basi tukaanza kuwa marafiki na baadaye tukapeana namba za simu.

Siku ya tukio nlikuwa na lecture theater one. Nakumbuka alikuwa anafundisha Dkt. Bashiru. kabla sijaondoka nikaangalia chini...nikamwona mkaka anajifuta maji huku ana boxer tu. Nikavutiwa naye kwa ule mwili wenye misuli.

Basi nikamtumia meseji ajiandae haraka tuondoke...akalalamika kuwa nmemchungulia hivyo sinabudi kumpitia naye anichungulie....kama bwege nikashuka kwenda room yake.

Yule kaka akanisemesha kidogo kimahaba na kuanza kunitomasa tomasa....nlilainika...na ukichukulia nlikuwa na hisia naye wala hakusumbuka sana.

Aliponivua kuja kwenye chupi nikamzuia mkono....akaniuliza shida nini. NLIKUWA KWENYE PERIOD. Zoezi likaishia hapo. Toka siku hiyo nikawa namkwepa kabisa...akaanza nitafuta nami nikawa namkwepa.

Sisi wanawake wakati mwingine tunaingiwa na ujinga flani basi tunajikuta tu ndo basi tena....mtu ushaliwa hivyo. Yaaani basi tu.yule kaka huwa namkumbuka sijui yu wapi maskini.
 
Umeniuzi Sana yani sasa kutokumpa jamaa niujinga!!.. nimekereka mno mpk hasira zimenipata!.. haya kaa Sasa na huo uchi wako. Kwanza sijui hata kwanini umeandika imeniuma sana naona kama mi ndo nilikuwa nachengwa maana kipindi nasoma nilijivika uhusika wa jamaa!.. kila pigo nimeenda nalo!.. mod futeni hii..😅😅
 
Weshu Mamshuza...
IMG_20200816_064749.jpg
 
Umeniuzi Sana yani sasa kutokumpa jamaa niujinga!!.. nimekereka mno mpk hasira zimenipata!.. haya kaa Sasa na huo uchi wako. Kwanza sijui hata kwanini umeandika imeniuma sana naona kama mi ndo nilikuwa nachengwa maana kipindi nasoma nilijivika uhusika wa jamaa!.. kila pigo nimeenda nalo!.. mod futeni hii..[emoji28][emoji28]
Usimfokee sasa....
 
Back
Top Bottom