Haaahaaahaaa hamna wewe tu mwoga bst
Duuuuuh hatareeeeeh sanaaah lol
Duuuuuh hatareeeeeh sanaaah lol
Duuuuuh akaaaah looHaaahaaahaaa hamna wewe tu mwoga bst
Duuuuuh akaaaah loo
NooopeDuhhhhhhh hiyo veepe ?
Wanaume baadhi akili uwa tunazipeleka Maliwato aisee.. huu utopolo unaoandikwa humu unaweza hisi kinacho zungumzwa Ni Cha maana Sana.. Mbwembwe nyingiii Kumbe linalozungumziwa hapa Ni tendo la dakika Chache tu Tena lisilo na faida kiuchumi labda kidogo kiafya ( Theoretically)
Hivi Wanaume tutakuja kustuka lini kutoka kwenye huu utumwa wa Mwili na kuanza kuishi kwa purpose.. Kuudhihirisha uungu wetu kwa kufanya Yale ya Muhimu zaidi na sio ya kujistarehesha kwa Uraibu wenye hasara kedekede kuliko faida..
Yaan jinsi Mabinti wanavyo tuchora kwenye huu Uzi aisee mpaka aibu mazee..
Mara moja moja Kama unavyofunga kula (Ramadhan ama kwaresma) hebu Jaribu kujizuia kuwaza Ngono, au Waza kwa kina Jambo Hilo ufikirie faida yake na hasara zake then utaelewa kwann aliumbwa Adam Kisha akafuata Hawa..
Tusipo badirika Mapema Kama Wanaume wanaojielewa Mwisho hautakua Mzuri kabisa.. yaan mpaka mtu unazeeka Hakuna la maana ulilofanya kutokana na zawadi ya uhai Mungu aliyokupa. Dah! baadhi ya Wanaume tumekua na Tabia za Makahaba mpaka jina la ukahaba limetupendezea kabisa..
Najua wengi watasema kwa Mwanaume rijali lazima uwaze haya lakini ushawahi kuwaza Ni Mara ngapi kwa siku unabanwa na haja lakini pia Ni Mara ngapi unawazia tendo la kwenda haja na eneo husika! (Utagundua ni Kujiendekeza tu)
Kuna haja ya Wanaume kujitafakari......
acha kumshambulia dada wa watu.....dada kuelezea hisia zake siyo umalaya ..kumbuka naye ni binadamu na anahisia piaWewe una ka-umalaya. Kama umeolewa huyo mume wako ana kazi.
Wewe uliwaka na baharia af bahati nzuri ukawa kwenye heat akakupiga mkojo.
Hamnaga siku rahisi kumpiga mashine mtoto wa kike kama siku ambayo yuko kwenye siku zake za hatari. Hata awe mgumu kama jabali na usumbufu wa aina gani ukimuotea siku hio ukimswaga aje ghetto atakuja tu zaidi ya hapo ukivaa ujasiri ukamtomasa tomasa basi jua shughuli inaisha vizuri kabisa. Hachomoki maana wengi huwa wana experience ya kuwashwa papuchi na solution huwa ni kupigwa mkuyenge tu. Anakuaa kama mbwa mbele ya chatu, anajipeleka mwenyewe tu na kuliwa kizembe kabisa.
Kinachofuata huwa ni lawama za kuwa haoni siku zake baada ya week au 2!
Hajasoma chuo huyo au ni hutu tutoto twa siku hizi. Sijui twenyewe tunaitaje hayo maeneo. Ukimwambia revo square pia unamchanganya.hawezi akapajua.sisi wakongwe ndo tunafaham.muulize anapafaham Mdegree?
Kwakwelii Sisi watu weusi tunapenda Sana Ngono basi tuuWanaume baadhi akili uwa tunazipeleka Maliwato aisee.. huu utopolo unaoandikwa humu unaweza hisi kinacho zungumzwa Ni Cha maana Sana.. Mbwembwe nyingiii Kumbe linalozungumziwa hapa Ni tendo la dakika Chache tu Tena lisilo na faida kiuchumi labda kidogo kiafya ( Theoretically)
Hivi Wanaume tutakuja kustuka lini kutoka kwenye huu utumwa wa Mwili na kuanza kuishi kwa purpose.. Kuudhihirisha uungu wetu kwa kufanya Yale ya Muhimu zaidi na sio ya kujistarehesha kwa Uraibu wenye hasara kedekede kuliko faida..
Yaan jinsi Mabinti wanavyo tuchora kwenye huu Uzi aisee mpaka aibu mazee..
Mara moja moja Kama unavyofunga kula (Ramadhan ama kwaresma) hebu Jaribu kujizuia kuwaza Ngono, au Waza kwa kina Jambo Hilo ufikirie faida yake na hasara zake then utaelewa kwann aliumbwa Adam Kisha akafuata Hawa..
Tusipo badirika Mapema Kama Wanaume wanaojielewa Mwisho hautakua Mzuri kabisa.. yaan mpaka mtu unazeeka Hakuna la maana ulilofanya kutokana na zawadi ya uhai Mungu aliyokupa. Dah! baadhi ya Wanaume tumekua na Tabia za Makahaba mpaka jina la ukahaba limetupendezea kabisa..
Najua wengi watasema kwa Mwanaume rijali lazima uwaze haya lakini ushawahi kuwaza Ni Mara ngapi kwa siku unabanwa na haja lakini pia Ni Mara ngapi unawazia tendo la kwenda haja na eneo husika! (Utagundua ni Kujiendekeza tu)
Kuna haja ya Wanaume kujitafakari......
Wewe ni mlegevuHuyu kaka nlikuwa namwona akiwa hostel pale hall 4 chumba cha chini kabisa alikuwa anakaa pale na mwenzie. Mimi nlikuwa upande Opposite ila ghorofani.
Mara nyingi nlikuwa namwona mpole ila anasalimia then busy flani hivi. Jioni alikuwa anapenda kwenda gym akirudi anaenda kuoga then anakuwa na boxer tu room.
Mimi nilikuwa namwona yeye hanioni sababu nlikuwa juu ghorofani. Basi siku hiyo nmekutana naye harvard tumekaa meza moja tunakula.akaagiza matunda yalipoletwa akaniwekea na mimi kwenye sahani bila hata kuniuliza.
Na kunambia yamalize please for me basi tukaanza kuwa marafiki na baadaye tukapeana namba za simu.
Siku ya tukio nlikuwa na lecture theater one. Nakumbuka alikuwa anafundisha Dkt. Bashiru. kabla sijaondoka nikaangalia chini...nikamwona mkaka anajifuta maji huku ana boxer tu. Nikavutiwa naye kwa ule mwili wenye misuli.
Basi nikamtumia meseji ajiandae haraka tuondoke...akalalamika kuwa nmemchungulia hivyo sinabudi kumpitia naye anichungulie....kama bwege nikashuka kwenda room yake.
Yule kaka akanisemesha kidogo kimahaba na kuanza kunitomasa tomasa....nlilainika...na ukichukulia nlikuwa na hisia naye wala hakusumbuka sana.
Aliponivua kuja kwenye chupi nikamzuia mkono....akaniuliza shida nini. NLIKUWA KWENYE PERIOD. Zoezi likaishia hapo. Toka siku hiyo nikawa namkwepa kabisa...akaanza nitafuta nami nikawa namkwepa.
Sisi wanawake wakati mwingine tunaingiwa na ujinga flani basi tunajikuta tu ndo basi tena....mtu ushaliwa hivyo. Yaaani basi tu.yule kaka huwa namkumbuka sijui yu wapi maskini.
Kajamaa kanajibaraguza tu.