Siwezi Sahau: Mazingira ya sisi wanawake kuliwa kimasihara

Siwezi Sahau: Mazingira ya sisi wanawake kuliwa kimasihara

Atakua ❌
Atakuwa ✅
Kweli umeishi hapo. Sisi tumesoma hapo. Na waliosoma hapo wameelewa. Wapo wengi wameishi hapo kwa ndugu zao au kama wafanyakazi wa ndani.hawawezi elewa habari za harvard na manzese. Ila waliosoma wanaelewa.😂😂😂😂😂

Udsm hakuna kijiwe kinaitwa harvard..nmeish hapo miaka mi4...atakua amekosea kutype
 
Siku ile nilikukosa kosa next time there will be no next time....mi nipo tu ma mshuza bado sijaoa mpaka leo nakufikiria wewe tu.naomba tuonane please. Angalau tuongee tu kama marafiki.uje ghetto tupige stories.
 
Hahahah labda alijua anaenda kupiga story tu
Kimsingi hamna demu anaeenda ghetto kwa mwanaume akiwa hajui nini haswa kinaenda kufanyika. Its a recurring experience kwamba lengo hasa la kuitwa faragha ni kupigwa mkojo hivyo atajipigilia mapafyumu, chupi mpya na madude yote ilimradi awe bomba na muonekano mkali zaidi.
 
Nimesoma Uzi mzima eti hamna mwanamke alie tombaner na mwanaume yeyote... Acheni uongo Basi?

Yani Kama wachina ukiwaona Kama hawapendi vile kunyaduana lakini unajiuliza wao ndio wako wengi zaidi Duniani.. Sasa wamezalianaje Hadi kufika 1.6 billion?

Nikwambie ukiona mtu anatembea Duniani ujue Kuna mtu alitombwer. [emoji16]
 
We jamaa nimecheka sana daaah
Mkuu anauzi sana huyu kanikera mno ningekuwa karibu yake ningemcharanga mabanzi yanaitwa "ukisimama nchale ukikaa nchale!"
Hapa nilipo nina hasira nae hajui tu maana alikuwa kanikomba hisia zangu zote nimevaa uhusika wa jamaa kila kitu!!.. Mambo gani haya ya kulostishana.. shubaaamit..
 
Huyu kaka nlikuwa namwona akiwa hostel pale hall 4 chumba cha chini kabisa alikuwa anakaa pale na mwenzie. Mimi nlikuwa upande Opposite ila ghorofani.

Mara nyingi nlikuwa namwona mpole ila anasalimia then busy flani hivi. Jioni alikuwa anapenda kwenda gym akirudi anaenda kuoga then anakuwa na boxer tu room.

Mimi nilikuwa namwona yeye hanioni sababu nlikuwa juu ghorofani. Basi siku hiyo nmekutana naye harvard tumekaa meza moja tunakula.akaagiza matunda yalipoletwa akaniwekea na mimi kwenye sahani bila hata kuniuliza.

Na kunambia yamalize please for me basi tukaanza kuwa marafiki na baadaye tukapeana namba za simu.

Siku ya tukio nlikuwa na lecture theater one. Nakumbuka alikuwa anafundisha Dkt. Bashiru. kabla sijaondoka nikaangalia chini...nikamwona mkaka anajifuta maji huku ana boxer tu. Nikavutiwa naye kwa ule mwili wenye misuli.

Basi nikamtumia meseji ajiandae haraka tuondoke...akalalamika kuwa nmemchungulia hivyo sinabudi kumpitia naye anichungulie....kama bwege nikashuka kwenda room yake.

Yule kaka akanisemesha kidogo kimahaba na kuanza kunitomasa tomasa....nlilainika...na ukichukulia nlikuwa na hisia naye wala hakusumbuka sana.

Aliponivua kuja kwenye chupi nikamzuia mkono....akaniuliza shida nini. NLIKUWA KWENYE PERIOD. Zoezi likaishia hapo. Toka siku hiyo nikawa namkwepa kabisa...akaanza nitafuta nami nikawa namkwepa.

Sisi wanawake wakati mwingine tunaingiwa na ujinga flani basi tunajikuta tu ndo basi tena....mtu ushaliwa hivyo. Yaaani basi tu.yule kaka huwa namkumbuka sijui yu wapi maskini.
da hatari sana
 
Jamani Jf kisima cha elim na burudani.

Kulikuwa na uxi pendwa kula tunda kimasihara...hadi sasa unatrend....ulituhusu wanaume ku do kizali zali


Sasa wadada wameanzisha jinsi wameliwa komasihara nyie wababa mnarukia na kutukana ohhh malaya wewe? Please tutumie lugha nzuri na tuwaencpurage wadada kuja kutusimulia ilivyokuwa kuwa wakatusuliwa kimasijara na sukari/ ndimu iliyopatikana kwa hisia....

Ninafuata popcorn nije niendelee kusoma hii...natumaini itakuwa uzi pendwa pia...na itatuongezea mbinu za medani...mbinu za ushindi.....

Karibun wadada mfunguke...uwanja ni wenu
 
Kimsingi hamna demu anaeenda ghetto kwa mwanaume akiwa hajui nini haswa kinaenda kufanyika. Its a recurring experience kwamba lengo hasa la kuitwa faragha ni kupigwa mkojo hivyo atajipigilia mapafyumu, chupi mpya na madude yote ilimradi awe bomba na muonekano mkali zaidi.

Yeah,iko hivyo

Kwanza hata mie sipendi kwenda kwa kina mwanaume halafu lisitokee jambo
 
Usiseme ni kuliwa kimasihala..hii ni aina ya pepo uko nalo,nje na hivyo ungekua serious na wala usingekua unashughulika na kumchungulia huyo jamaa

Umalaya
Acheni unafki mbona nyinyi kule kwenye Uzi Wa kula tunda kimasihara mnaeleza yote?? Kwanini huyu mnamuandama? Wapi alipokosea?
 
Back
Top Bottom