Siwezi Sahau: Mazingira ya sisi wanawake kuliwa kimasihara

Siwezi Sahau: Mazingira ya sisi wanawake kuliwa kimasihara

Sasa hata nikiliwa sioni wewe unaumia nini....maana kwa mwanamke ni jambo la kawaida....shida ni wewe unayejiita baharia huwezi twambia humu kuwa huwa unaliwa.ndo maana unaona hata sisi wanawake tutaogopa kusema hivyo....umeliwa shosti....😂😂😂😂 Na utaendelea kuliwa.

Sio lazima aseme, baharia huwa anaelewa mapema tu uhalisia. Hio danganya toto ya kuwa P ni kwa amateurs tu! 😎
 
Mwenzangu ... Kwani huwa watu wa namna hii hata wanaelewa? Utakuta ni katoto tu ka form five....
Mi ndio ni katoto ka form 5 ila kama una mda leo na hutojali njoo mitaa ya 5N kuna jambo nataka unifundishe mamaa!
 
Khaaah....nyie huwa mnanuka boxer na soksi... Wala..siwezi mimi kaa karibu na katoto ambako hata hakana ujazo wa kutosha....

Mi ndio ni katoto ka form 5 ila kama una mda leo na hutojali njoo mitaa ya 5N kuna jambo nataka unifundishe mamaa!
 
Sasa hata nikiliwa sioni wewe unaumia nini....maana kwa mwanamke ni jambo la kawaida....shida ni wewe unayejiita baharia huwezi twambia humu kuwa huwa unaliwa.ndo maana unaona hata sisi wanawake tutaogopa kusema hivyo....umeliwa shosti....😂😂😂😂 Na utaendelea kuliwa.
Usiongee sana, kama nawewe unataka kunila kimasihara karibu sana af uzuri leo niko town...Dhana zote za kivita ninazo, tutaanza na SD Bioline kabla ya yote then mengine yatafuata.
 
Khaaah....nyie huwa mnanuka boxer na soksi... Wala..siwezi mimi kaa karibu na katoto ambako hata hakana ujazo wa kutosha....
Boxer ninazo mpya kabisa na sio za kariakoo zile za mafungu hivyo wala usihofu kuhusu hilo. Ujazo haupimwi kwa story we fika mitaa ya 5N kisha nicheki.
 
Huyu kaka nlikuwa namwona akiwa hostel pale hall 4 chumba cha chini kabisa alikuwa anakaa pale na mwenzie. Mimi nlikuwa upande Opposite ila ghorofani.

Mara nyingi nlikuwa namwona....mpole ila anasalimia then busy flan hivi. Jioni alikuwa anapenda kwenda gym akirudi anaenda kuoga then anakuwa na boxer tu room.

Mimi nlikuwa namwona yeye hanioni.sababu nlikuwa juu ghorofani.basi siku hiyo nmekutana naye harvard tumekaa meza moja tunakula.akaagiza matunda yalipoletwa akaniwekea na mimi kwenye sahani bila hata kuniuliza.

Na kunambia yamalize please for me.basi tukaanza kuwa marafiki na baadaye tukapeana namba za simu.

Siku ya tukio nlikuwa na lecture theater one. Nakumbuka alikuwa anafundisha Dr.Bashiru. kabla sijaondoka nikaangalia chini...nikamwona mkaka anajifuta maji huku ana boxer tu. Nikavutiwa naye kwa ule mwili wenye misuli.

Basi nikamtumia meseji ajiandae haraka tuondoke...akalalamika kuwa nmemchungulia hivyo sinabudi kumpitia naye anichungulie....kama bwege nikashuka kwenda room yake.

Yule kaka akanisemesha kidogo kimahaba na kuanza kunitomasa tomasa....nlilainika...na ukichukulia nlikuwa na hisia naye wala hakusumbuka sana.

Aliponivua kuja kwenye chupi nikamzuia mkono....akaniuliza shida nini. NLIKUWA KWENYE PERIOD. Zoezi likaishia hapo. Toka siku hiyo nikawa namkwepa kabisa...akaanza nitafuta nami nikawa namkwepa.

Sisi wanawake wakati mwingine tunaingiwa na ujinga flani basi tunajikuta tu ndo basi tena....mtu ushaliwa hivyo. Yaaani basi tu.yule kaka huwa namkumbuka sijui yu wapi maskini.
Sasa hapo ujinga wako nini? Si ulikua una hisia nae? Au wewe huna haki ya kuonesha hisia zako kwa mtu ambae una hisia nae?
Bidada hizi zama sio za kufa na tai shingoni, ukimuelewa mfate mnamalizana, mambo ya kusubiri kutongozwa yalikwisha karne ya 20 huko.
 
Back
Top Bottom