Siwezi Sahau: Mazingira ya sisi wanawake kuliwa kimasihara

Siwezi Sahau: Mazingira ya sisi wanawake kuliwa kimasihara

Ukifikia level hizo za kuitwa "jitu" ujue umezingua kwa kiwango cha SGR!

Mtu ushakula, ushakunywa, ushashiba, makamuzi yanatakiwa yaendelee sasa.... Mara oh, " Filipo ujue mi sijaja kwa mambo hayo!" huku ni kutaftiana kesi za ubakaji tu.
Baharia 3:5-7
Leo uko moto sana Mr....inaonekana ulikwazika sana!em samehe hlo jitu bure basi si unajua mambo ya playing hard to get[emoji28]
 
Kwani ushawahi ku apply hizo swagga getoni kwa baharia? what happened?
Mimi mbona kama mara mbili niliwahi kunusurika kwa sababu nilikuwa period, nashangaa tu mnavyobishia. Ila ni zamani sana huko enzi za ujana
 
Hivi mbona mimi hujanikaribisha popote akati nishasema napenda kufanya kitu nikienda kwa kina mwanaume?[emoji849]

Ama sijakidhi vigezo hapo [emoji23]
[emoji134][emoji134][emoji134] shemeji yako huyu
 
Mimi mbona kama mara mbili niliwahi kunusurika kwa sababu nilikuwa period, nashangaa tu mnavyobishia. Ila ni zamani sana huko enzi za ujana
Kimsngi siku ukija uko P nakutema tu aina udasi...mi si mtu hivi hivi! But sio mzuka kuibuka Ngwea ukiwa unavuja, atleast kuwa muwazi mapema hata kama unatimba muuni astay low key! Wengine wanakuwaga na Mwani mbaya aachii goli lazma atikise hata kimoko japo unakuta mama ana leakage!
 
Hivi mbona mimi hujanikaribisha popote akati nishasema napenda kufanya kitu nikienda kwa kina mwanaume?[emoji849]

Ama sijakidhi vigezo hapo [emoji23]
Tunapangwa hapa bibie,hanaga haraka huyu ila ni moto wakuotea mbali[emoji16]
 
Leo uko moto sana Mr....inaonekana ulikwazika sana!em samehe hlo jitu bure basi si unajua mambo ya playing hard to get[emoji28]
Ufala tatizo...mtu anakua kasha tune ubongo kuwa leo mtt anakula kindepa cha aste aste. Hio makaribisho tu ila next date ni maangamizi!
Muuni uko na mwanii af mtt mzuri design anakaza! Aibambi wala nini ukikutana na fyatu anakufungulia mlango utembee!
 
Kimsngi siku ukija uko P nakutema tu aina udasi...mi si mtu hivi hivi! But sio mzuka kuibuka Ngwea ukiwa unavuja, atleast kuwa muwazi mapema hata kama unatimba muuni astay low key! Wengine wanakuwaga na Mwani mbaya aachii goli lazma atikise hata kimoko japo unakuta mama ana leakage!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] kuna wakati mnakuwa mmekubaliana mkutane tu mfanye mambo mengine unashangaa mtu anakubadilishia gia angani. Lakini pia inategemea uko na mtu wa aina gani....mtu kama wewe mwanamke kama hajakupa papuchi basi hana maana na hatakiwi hata kukusogelea (mara nyingi huwa unalisema hili)....na mwanamke wako ataishi kama wewe unavyotaka kama hataona tatizo. Kuna wengine ni waelewa , hata usipompa leo anajua utampa kesho na utaendelea kuthaminiwa kama kawaida.
 
Back
Top Bottom