Siwezi Sahau: Mazingira ya sisi wanawake kuliwa kimasihara

Hayo maamuz magumu yaishie tu kwenye utamu sio ukanyage kanyage bila ile hot vibe....(narecall story ya salon" yan yule kaka alinibananisha nikasema sitoi ila ghafla nikajikuta natoa maana kila kona aliyogusa ilikuwa yenyewe")[emoji28]
Sasa kuna nini tena, itabidi uunganishiwe orientation na masomo kwa pamoja.😂😂😂 Tunaanzia kwenye chapter bila intro maelekezo yatafata mechi ijayo.
 
Hayo maamuz magumu yaishie tu kwenye utamu sio ukanyage kanyage bila ile hot vibe....(narecall story ya salon" yan yule kaka alinibananisha nikasema sitoi ila ghafla nikajikuta natoa maana kila kona aliyogusa ilikuwa yenyewe")[emoji28]
Wacha weee....😅😅😅kwahiyo mtafunano ukatokea🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️
 
Wacha weee....[emoji28][emoji28][emoji28]kwahiyo mtafunano ukatokea[emoji3344][emoji3344][emoji3344]
Hahahaha pigia mstari na kunogewa juu,now nikushare mpk funguo za apartment ili mtafunano uendelee bila kikomo[emoji28]
 
Atakua [emoji777]
Atakuwa [emoji736]
Kweli umeishi hapo. Sisi tumesoma hapo. Na waliosoma hapo wameelewa. Wapo wengi wameishi hapo kwa ndugu zao au kama wafanyakazi wa ndani.hawawezi elewa habari za harvard na manzese. Ila waliosoma wanaelewa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watu wa coet hatuwez kuzijua kona kama hzo..ni nyie ma ngwini ndo mnapuyanga huko kwanza sis tunamalizia kulekule kwenye college zetu.so usinilazimishe nijue hyo kona..sijawai ijua sasa hyo cafeteria na wala sjawai kula hapo...ndo nmeiskia leo
 
Sasa kuna nini tena, itabidi uunganishiwe orientation na masomo kwa pamoja.[emoji23][emoji23][emoji23] Tunaanzia kwenye chapter bila intro maelekezo yatafata mechi ijayo.
Hahahahaa shabaaash in no particular order![emoji16]
 
Daaaahhh.....umechemka sana... Yaani bora ungeuliza kwa watu kabla hujaandika. Waliosoma UDSM miaka ya nyuma wanapafahamu vizuri sana harvard ni wapi.
Miaka ya nyuma ipi.mi ni wa 2009-2013...labda kwakua nilikua nakula coet.nje na hapo labda nikale cafeteria 1 or 2...nmeish hall5 ,hall2 miaka yote,,sjawai ijua hyo cafeteria...sasa usinilazimishe
 
Watu wa coet hatuwez kuzijua kona kama hzo..ni nyie ma ngwini ndo mnapuyanga huko kwanza sis tunamalizia kulekule kwenye college zetu.so usinilazimishe nijue hyo kona..sijawai ijua sasa hyo cafeteria na wala sjawai kula hapo...ndo nmeiskia leo
[emoji1][emoji1][emoji1] utetezi wa kipuuzi, haya mwanzoni uliposema udsm hakuna cafeteria inaitwa Havard ulikuwa umesahau kuwa nyie wacoet hamyajui maeneo yote ya chuo mambo yote mnamalizia kwenu?
 
Hahahaha pigia mstari na kunogewa juu,now nikushare mpk funguo za apartment ili mtafunano uendelee bila kikomo[emoji28]
Wacha weee...
Ukipata mtu anaekujulia na wewe unamjulia 😋😋game linakuwa konki 🔥 asikwambie raia 🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️Shhhhhhhhh
 
[emoji1][emoji1][emoji1] utetezi wa kipuuzi, haya mwanzoni uliposema udsm hakuna cafeteria inaitwa Havard ulikuwa umesahau kuwa nyie wacoet hamyajui maeneo yote ya chuo mambo yote mnamalizia kwenu?
Kwahyo tunashindana au.
 
Sema wewe dada maana mimi jamaa kanishangaza.unaweza kuta hata huko coet kasimuliwa tu.mtu alitekaa hall 5 hawezi shindwa pafahamu Harvard Cafeteria ni wapi.maana yake hata manzese hapafaham. Coet usiku kulikuwa hakuna chakula.sijui miaka yao.

Kusema kweli mimi nimekaa Hall 3 na hapo havard sipajui ....sema alichokosea yeye ni kuleta ujuaji eti udsm hakuna kijiwe kinaitwa havard halafu baadaye anakuja na tambo za coet, sasa kama alijua ye ni mtu wa coet kwa nini aje kuropoka kuwa hakuna eneo kama hilo?
 
Hii cafeteria hapa karibu na zilipokuwepo ofisi za Daruso na Revolution Square ndo palikuwa panaitwa harvard. Ile cafeteria ya nyuma yake ni Manzese. Miaka yetu tunasoma sisi.

Back
Top Bottom