Siwezi Sahau: Mazingira ya sisi wanawake kuliwa kimasihara

Siwezi Sahau: Mazingira ya sisi wanawake kuliwa kimasihara

Hii cafeteria hapa karibu na zilipokuwepo ofisi za Daruso na Revolution Square ndo palikuwa panaitwa harvard. Ile cafeteria ya nyuma yake ni Manzese. Miaka yetu tunasoma sisi.
Hebu nieleweshe vizuri, pale kuna cafeteria ambayo iko nyuma ya nyenzie? Mbona ziko zinatazamana? Ila mimi nakumbuka nyuma ya cafeteria 1 kulikuwa kama kijicafe kidogo walikuwa wanauza Chipsi kama sikosei (sikuwahi kuingia) au ndio hapo havard?
 
Huyu kaka nlikuwa namwona akiwa hostel pale hall 4 chumba cha chini kabisa alikuwa anakaa pale na mwenzie. Mimi nlikuwa upande Opposite ila ghorofani.

Mara nyingi nlikuwa namwona mpole ila anasalimia then busy flani hivi. Jioni alikuwa anapenda kwenda gym akirudi anaenda kuoga then anakuwa na boxer tu room.

Mimi nilikuwa namwona yeye hanioni sababu nlikuwa juu ghorofani. Basi siku hiyo nmekutana naye harvard tumekaa meza moja tunakula.akaagiza matunda yalipoletwa akaniwekea na mimi kwenye sahani bila hata kuniuliza.

Na kunambia yamalize please for me basi tukaanza kuwa marafiki na baadaye tukapeana namba za simu.

Siku ya tukio nlikuwa na lecture theater one. Nakumbuka alikuwa anafundisha Dkt. Bashiru. kabla sijaondoka nikaangalia chini...nikamwona mkaka anajifuta maji huku ana boxer tu. Nikavutiwa naye kwa ule mwili wenye misuli.

Basi nikamtumia meseji ajiandae haraka tuondoke...akalalamika kuwa nmemchungulia hivyo sinabudi kumpitia naye anichungulie....kama bwege nikashuka kwenda room yake.

Yule kaka akanisemesha kidogo kimahaba na kuanza kunitomasa tomasa....nlilainika...na ukichukulia nlikuwa na hisia naye wala hakusumbuka sana.

Aliponivua kuja kwenye chupi nikamzuia mkono....akaniuliza shida nini. NLIKUWA KWENYE PERIOD. Zoezi likaishia hapo. Toka siku hiyo nikawa namkwepa kabisa...akaanza nitafuta nami nikawa namkwepa.

Sisi wanawake wakati mwingine tunaingiwa na ujinga flani basi tunajikuta tu ndo basi tena....mtu ushaliwa hivyo. Yaaani basi tu.yule kaka huwa namkumbuka sijui yu wapi maskini.
Hahaha duuh imebidi tu nicheke
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapo kwenye waume za watu naunga mkono hoja ila hapo kwenye vitambi naomba niwatetee..

Basi reporter wangu alitia sukari kidogo kwenye uongo wake 😃
 
Mmmmh....hapo chuo last time nmefika was 2013. Sijui kama kuna mabadiliko makubwa. Hapa Revo Square unapafaham? Ndo pana caf ya mbele. Ukiipita kama unaenda mwenge utakuta ipo nyingine jengo ni vile vile. Hiyo tulikuwa tunaiita manzese.


Hebu nieleweshe vizuri, pale kuna cafeteria ambayo iko nyuma ya nyenzie? Mbona ziko zinatazamana? Ila mimi nakumbuka nyuma ya cafeteria 1 kulikuwa kama kijicafe kidogo walikuwa wanauza Chipsi kama sikosei (sikuwahi kuingia) au ndio hapo havard?
 
Mmmmh....hapo chuo last time nmefika was 2013. Sijui kama kuna mabadiliko makubwa. Hapa Revo Square unapafaham? Ndo pana caf ya mbele. Ukiipita kama unaenda mwenge utakuta ipo nyingine jengo ni vile vile. Hiyo tulikuwa tunaiita manzese.
Revo square napafahamu na hizo cafe mbili nazifahamu ila hayo majina sikuwa nayajua ila umenichanganya ulivyosema nyuma
 
wako wapi hao wanaume niwatoe kafara nipate utajiri mana kama kazi yao ni kutafuta tu malaya na sio pesa basi hawana kazi na uhai wao
Mbona humu kuna nyuzi nyingi za machimbo ya Malaya . Hitwe bado na kila sehemu
 
Heee kumbe unapiga? Bora nilikukimbia...cha kutiana ulemavu?
Haha! Ke zingine zina tabia za kutingisha kiberiti kujua zimejaa au hazijajaa, lakini kwa Ke anayejitambua sinaga hata wazo la kupiga maana mwili wa Ke ni pambo(ua) kwa Me kimvuto na kiuzuri.
 
Hebu niambie alikosa nini huyo ke
Kabla ya kuja geto alishaniahidi ananiletea tunda kulila, baada ya kufika akabadili gia angani kuwa yuko kwenye MP, nilipochunguza kiundani niligundua kuna Me mwingine alimuahidi kumpatia mzigo siku hiyo hiyo kupitia Dada yake wa damu watapokuwa wakienda kwenye sherehe ya harusi.

Alikula kipigo kitakatifu, alipomaliza kulia niliomba mechi na aliliwa kama kawaida.
 
Umeniuzi Sana yani sasa kutokumpa jamaa niujinga!!.. nimekereka mno mpk hasira zimenipata!.. haya kaa Sasa na huo uchi wako. Kwanza sijui hata kwanini umeandika imeniuma sana naona kama mi ndo nilikuwa nachengwa maana kipindi nasoma nilijivika uhusika wa jamaa!.. kila pigo nimeenda nalo!.. mod futeni hii..[emoji28][emoji28]
Hahahaha mwamba umemind kichizi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom