Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
Mimi na mtu mzima, kosa gani hilo kubwa nitakuwa nimefanya ambalo siwezi kurekebishwa kwa maneno hadi unipige? Nimekuwa mtoto mimi? Ok umeamua kunipiga, si tunatakiwa tuwe tumemalizana? Natakiwa kukuhonga tena?Inawezekana vizuri tu.
Inakuwaje ikiwa wewe ndio mtenda kosa? Yaani unajua kabisa kuwa umepigwa kwa sababu ya makosa yako?
Mwisho wa siku lazima utoe tu na ukigoma Grace yupo.