Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
Watajua nimekimbia kipigoIla wewe unayekimbia na kanga moko hawatakushangaa?
Watajua nimekimbia kipigoIla wewe unayekimbia na kanga moko hawatakushangaa?
Mmmmmmh!Watajua nimekimbia kipigo
Wakati mwingine tunaona tusipopigwa hatupendwi[emoji1787][emoji1787] yaani hata kofi tu? Unaonekana mahusiano hujayapa uzitoMmmmmmh!
Ila wanawake wakati mwingine mnakera, yaani hata kama mtu hana mpango wa kuwatandika atawatandika tu, hasa mkimuona mtu mpole ambaye havutiwi na mambo ya kurushiana ngumi.
Mimi sio muumini wa kupiga wanawake hata kidogo, nikiwa na hamu ya kupigana natafuta size yangu ila nikipata malalamiko ya kupigwa mwanamke, sikimbilii kumlaumu mwanaume hata kidogo maana nyie wanawake akili zenu mnazijua wenyewe.
Haa haa baby wangu yuko humu unataka nipigwe kibuti?Sema bana, kwani kitu gani asee [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haha haha haha aisee nimecheka kwa sauti kubwa, eti "unaonekana mahusiano hujayapa uzito"Wakati mwingine tunaona tusipopigwa hatupendwi[emoji1787][emoji1787] yaani hata kofi tu? Unaonekana mahusiano hujayapa uzito
ah wacha bhana nakuja😂😂😂Njoo kwangu nikuoneshe jambo
sio vizuriNataka wawe wengi wa kujichanganya
Kausha basi na wewe mbn kama unawastua😅😅😅sio vizuri
Ndioo...haunipendi kabisa yaani. Unasogeza tu siku[emoji1751]Haha haha haha aisee nimecheka kwa sauti kubwa, eti "unaonekana mahusiano hujayapa uzito"
HAHAHAHAHAH ujue niko na watu hapa!Ndioo...haunipendi kabisa yaani. Unasogeza tu siku[emoji1751]
Mkuu hadi huko kenya?Halafu mna kaujinga fulani hivi, unakuja ghetto kwangu ukiwa unajua una periods, ilhali unajua lazima nitakuhitaji.
Bado hujapata mtu wa kafara?wako wapi hao wanaume niwatoe kafara nipate utajiri mana kama kazi yao ni kutafuta tu malaya na sio pesa basi hawana kazi na uhai wao
Halafu mna kaujinga fulani hivi, unakuja ghetto kwangu ukiwa unajua una periods, ilhali unajua lazima nitakuhitaji.
Hana jeuri hiyo bana, we funguka tu mama😆Haa haa baby wangu yuko humu unataka nipigwe kibuti?
Kausha
Wengine kupigwa kunawasisimua wala usishangaeYaani unipige halafu nikupe, haiwezi kutokea
Haha kumbeWengine kupigwa kunawasisimua wala usishangae
Haufiki tu, mi nataka nitokeah wacha bhana nakuja😂😂😂