X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,791
- 15,016
UNAKUMBU KUMBU sana hicho tu ndicho ninacho kupendea...unakumbuka mara ya kwanza...nilipo kuona...unajua kwanini niliyatazama sana macho yako...?Beach?haikuwa beach
Ilikuwa katika gari ile siku