Mbona wanaume wanapenda Malaya[emoji23][emoji23][emoji23]Wewe una ka-umalaya. Kama umeolewa huyo mume wako ana kazi.
Mshinda na boxer alipewa mchezo. Ma Mshuza kaogopa tu kumalizia. Angekuwa period asingejipeleka kwa baharia.Bila period mshinda na boxer angepewa mchezo dadeq
Bila period mshinda na boxer angepewa mchezo dadeq
Usimfokee sasa....Umeniuzi Sana yani sasa kutokumpa jamaa niujinga!!.. nimekereka mno mpk hasira zimenipata!.. haya kaa Sasa na huo uchi wako. Kwanza sijui hata kwanini umeandika imeniuma sana naona kama mi ndo nilikuwa nachengwa maana kipindi nasoma nilijivika uhusika wa jamaa!.. kila pigo nimeenda nalo!.. mod futeni hii..[emoji28][emoji28]