Siwezi shangaa Dar kukosa maji maana hata sehemu zenye maziwa maji hakuna

Siwezi shangaa Dar kukosa maji maana hata sehemu zenye maziwa maji hakuna

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Hawa watawala ndio wameishia uwezo wao.

Sio dar kuwa na ukosefu wa maji au matatizo ya kukosekana maji.

Hata sehemu zilizozungukwa na maziwa maji yana kosekana

Nchi imekosa ubunifu wa kutatua shida za maji.

20251210_104419.jpg
 
Mange Kimambi na wanaharakati wengine wanalipwa pesa na Mabeberu tukose maji.
Tutamkumbuka sana Mange ,angekuwepo instagram angewawashia moto DAWASA na wangutatua haraka tatizo la maji ,kwasasa hakuna wa kutusemea! Mwafwaaaaaaa!!!
 
Sijawahi kukosa maji Dar es salaam week Moja mfululizo, yatatoka mara 2 kwa masaa 12 mpaka 24
 
Daaah mie Nina week ya pili sasa maji hayatoki yalikua yanatoka usiku ila sasa week kadhaa nyuma au labda huku tunakoishi ndio shida tukiandamana wanasema tumelipwa
 
Mama anaupiga mwingi sana tena atawale milele maana ni mengi mazuri ametufanyia.
 
Back
Top Bottom