Tutamkumbuka sana Mange ,angekuwepo instagram angewawashia moto DAWASA na wangutatua haraka tatizo la maji ,kwasasa hakuna wa kutusemea! Mwafwaaaaaaa!!!
Daaah mie Nina week ya pili sasa maji hayatoki yalikua yanatoka usiku ila sasa week kadhaa nyuma au labda huku tunakoishi ndio shida tukiandamana wanasema tumelipwa