Pagan Amum
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 1,932
- 4,403
Siku zote tunasema
CCM ndio wezi wa nchi hii
wameifilisi na wanaendelea kuifilisi
CCM yenyewe kama chama wameiba mali za umma...sembuse individuals
Ili nchi hii ipone inabidi CCM itolewe madarakani
Tuone kama nyumba za serikali zitarudishwa!!!Sasa naamini serikali na vyombo vya dola vipo kazini. Jana mara baada ya UVCCM kutoa taarifa za ufisadi za Suxtus Mapunda (aliyekuwa katibu mkuu wa jumuia hiyo, na kwa sasa ni mbunge wa Mbinga), leo kakamatwa na Takukuru kwa mahojiano zaidi na ikibidi kufikishwa mahakamani mapema iwezekanavyo..
Wakati huo huo Mdada Seki na aliyekuwa katibu katibu wa uvccm, Iringa wakiendelea kutafutwa.
Mytake: Chini ya Magufuli hakuna fisadi atakayebaki salama..
hahahaha endelea kuotaSasa naamini serikali na vyombo vya dola vipo kazini. Jana mara baada ya UVCCM kutoa taarifa za ufisadi za Suxtus Mapunda (aliyekuwa katibu mkuu wa jumuia hiyo, na kwa sasa ni mbunge wa Mbinga), leo kakamatwa na Takukuru kwa mahojiano zaidi na ikibidi kufikishwa mahakamani mapema iwezekanavyo..
Wakati huo huo Mdada Seki na aliyekuwa katibu katibu wa uvccm, Iringa wakiendelea kutafutwa.
Mytake: Chini ya Magufuli hakuna fisadi atakayebaki salama..
Halafu ndo waingie akina ROSTAM na Lowasa karami na mbowe
kuna tofauti ya kuhojiwa na kushitakiwa na kuhukumiwa!Sasa naamini serikali na vyombo vya dola vipo kazini. Jana mara baada ya UVCCM kutoa taarifa za ufisadi za Suxtus Mapunda (aliyekuwa katibu mkuu wa jumuia hiyo, na kwa sasa ni mbunge wa Mbinga), leo kakamatwa na Takukuru kwa mahojiano zaidi na ikibidi kufikishwa mahakamani mapema iwezekanavyo..
Wakati huo huo Mdada Seki na aliyekuwa katibu katibu wa uvccm, Iringa wakiendelea kutafutwa.
Mytake: Chini ya Magufuli hakuna fisadi atakayebaki salama..
Sasa naamini serikali na vyombo vya dola vipo kazini. Jana mara baada ya UVCCM kutoa taarifa za ufisadi za Suxtus Mapunda (aliyekuwa katibu mkuu wa jumuia hiyo, na kwa sasa ni mbunge wa Mbinga), leo kakamatwa na Takukuru kwa mahojiano zaidi na ikibidi kufikishwa mahakamani mapema iwezekanavyo..
Wakati huo huo Mdada Seki na aliyekuwa katibu katibu wa uvccm, Iringa wakiendelea kutafutwa.
Mytake: Chini ya Magufuli hakuna fisadi atakayebaki salama..
na mahakama ya mafisadi inawahusu ccmSiku zote tunasema
CCM ndio wezi wa nchi hii
wameifilisi na wanaendelea kuifilisi
CCM yenyewe kama chama wameiba mali za umma...sembuse individuals
Ili nchi hii ipone inabidi CCM itolewe madarakani
Halafu ndo waingie akina ROSTAM na Lowasa karami na mbowe
ile kubwa sana,atuoneshe salary slips zake kama alivyo tuahididi alipokuwa chato!Hapana kwanza anatakiwa aliyenunua Mv Bagamoyo ahojiwe