Tetesi: Sixtus Mapunda Akamatwa na TAKUKURU

Status
Not open for further replies.
Hivi UVCCM atakamatwa nan na achwe nan wote ni mafisadi tu[/QUOT
Hii serikaliiiiiiiii huko tuendako inabidi ijikamate yenyewe maana huko ndiko kuna PAPA na NYANGUMI wanapiga miluzi bila wasiwasi wowote. Si Vinginevyo THOMASO.
 
Sipingi Lugumi na kibaya ulishatolewa ufafanuzi na bunge lilishaunda kamati na kujiridhisha, ila mtu kama wewe huoni ufisadi wa mbowe na lowasa walivyouziana chama unakomaa na vitu vingine. Mwambieni mbowe arudishe chenji la lowasa ili awe huru kuamua mstakabali wa chama na siyo kila siku anaambiwa aache uanaharakati
Majizi makubwa yako upande uleeeeeeeeeee usitokwe udenda.
 
Hapo ndipo huwa namkubali Magufuli.. Kuna mijitu ilikuwa inashabikia Ccm ili kuficha madhambi yao

Tusubiri matokeo kuanzia kwa wale alioanza nao wiki chache baada ya kuingia madarakani,
 
Sasa naamini serikali na vyombo vya dola vipo kazini. Jana mara baada ya UVCCM kutoa taarifa za ufisadi za Suxtus Mapunda (aliyekuwa katibu mkuu wa jumuia hiyo, na kwa sasa ni mbunge wa Mbinga), leo kakamatwa na Takukuru kwa mahojiano zaidi na ikibidi kufikishwa mahakamani mapema iwezekanavyo..

Wakati huo huo Mdada Seki na aliyekuwa katibu katibu wa uvccm, Iringa wakiendelea kutafutwa.

Mytake: Chini ya Magufuli hakuna fisadi atakayebaki salama..
Wacha Majizi yatoboane Macho
 
Mbona waliojiuzia nyumba za uma kwa bei ya kutupwa hawaguswi ,na alinunua kivuko kibove cha Dar bagamoya yuko mitaani?
 
Endeleeni kukata mauno huko lumumba kisa mnaiba na sasa mmeshaamza kuanikwa mchana kweupe na huo wizi wenu
Sisi hatuna shida, wezi wote na mafisadi tunawakimbizia huko kwenu CHADEMA.
Kingpin Lowasa si yupo huko au siyo?
 
Yule mbunge viti maalumu chadema Risala Kabongo wa Iringa aliyekula hela za kampeni za CCM Iringa alikokuwa mweka hazina wa hela za kampeni za CCM hajadakwa? uchaguzi ulipoisha tu Chadema wakamtoa CCM na kumpa ubunge viti maalumu chapchap baada ya kukamilisha kazi ya kusaliti CCM na kula pesa za kampeni za CCM zilizokuwa mikononi mwake.Hadi Leo hajawahi Toa ripoti ya matumizi ya zile pesa.Mheshimiwa Raisi huyo akamatwe naye
Jikite kwenye mada , Mapunda amefanywaje baada ya kudakwa na Takukuru ? Ukitaka kuleta yaliyopita mimi nitakuletea ya Jaku mbunge wa ccm huko Zanzibar kumiliki meli mbovu iliyoua watu na bado ccm inamkumbatia , Hamad Masauni mbinguni na ardhini wanafahamu alifoji umri na kutimuliwa uvccm , lakini leo yuko wizara ya mambo ya ndani , wizara nyeti inayotaka waaminifu mnaweka watu waongo ! Hii nchi imekula laana mbaya sana !
 
Sasa naamini serikali na vyombo vya dola vipo kazini. Jana mara baada ya UVCCM kutoa taarifa za ufisadi za Suxtus Mapunda (aliyekuwa katibu mkuu wa jumuia hiyo, na kwa sasa ni mbunge wa Mbinga), leo kakamatwa na Takukuru kwa mahojiano zaidi na ikibidi kufikishwa mahakamani mapema iwezekanavyo..

Wakati huo huo Mdada Seki na aliyekuwa katibu katibu wa uvccm, Iringa wakiendelea kutafutwa.

Mytake: Chini ya Magufuli hakuna fisadi atakayebaki salama..
Huwezi kuwa kiongozi ndani ya Ccm kama huna tabia ya ufisadi...
 
Yule mbunge viti maalumu chadema Risala Kabongo wa Iringa aliyekula hela za kampeni za CCM Iringa alikokuwa mweka hazina wa hela za kampeni za CCM hajadakwa? uchaguzi ulipoisha tu Chadema wakamtoa CCM na kumpa ubunge viti maalumu chapchap baada ya kukamilisha kazi ya kusaliti CCM na kula pesa za kampeni za CCM zilizokuwa mikononi mwake.Hadi Leo hajawahi Toa ripoti ya matumizi ya zile pesa.Mheshimiwa Raisi huyo akamatwe naye
Hivi ww mzima kweli!!??
 
Risala Kabongo CCM tunataka ripoti za mapato na matumizi ya pesa za kampeni ya uchaguzi MKuu mkoa wa Iringa 2015
Wewe LAFA usinifanye mie mtu wa kipatia buku7 hapo lumumba shika adabu
 
Back
Top Bottom