Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kimekupitia?
Ushawahi kumuona nesi anajichoma sindano ya takoatatumbua sana ila kuna sehemu hatazigusa kabisa wala kuzizungumzia,moja wapo hilo na uuzwaji nyumba za serikali hutakuja hata kumsikia akizungumzia kokote
Shikamoo LugumiNi kweli hakuna fisadi atakayebaki salama isipokuwa Lugumi
Well said mkuu, ccm ni virus hatari Sana.Siku zote tunasema
CCM ndio wezi wa nchi hii
wameifilisi na wanaendelea kuifilisi
CCM yenyewe kama chama wameiba mali za umma...sembuse individuals
Ili nchi hii ipone inabidi CCM itolewe madarakani
Mbinga JIMBO WAZI
Thibitisha kama yupoMkuu hujui kuwa Lowasa yupo kwenye Lugumi?
boti chakavuHivi kile si ni chuma chakavu
Wizi wa UVCCM haujaanza na Six Mapunda. Kwa taarifa yako, kama TAKUKURU wataamua kuchunguza yale mafaili ya UVCCM kwa undani sana basi hata akina Nchimbi, Nape, Makonda, Ridhiwani na Bashe wataguswa, kwa sababu wametokea huko huko. Hivi umewasahau wale waliotoa tamko kwamba raisi hawezi kutoka kaskazini? Kuna mtu alikua nyuma yao, nae ataguswa.Hivi ni nani anayesema Umoja wa vijana kuna ufisadi? nataka kumjua kwa sababu tunataka pia mtu huyo hiyo aseme na matatizo mengine ya akina Lugumi au Escrow. Maana huyo atakuwa ni mtu ambaye system inamsikiliza na kumwamini sana. Kama anaweza kusema leo na kesho TAKUKURU wakaingia kazini, basi ni mtu anayeaminika sana. Wengine wakisema wataitwa wachochezi, waongo na watu wanaokosoa kila kitu.
..."nahofu...nywele nyeupe, watu watakula"...Sasa naamini serikali na vyombo vya dola vipo kazini. Jana mara baada ya UVCCM kutoa taarifa za ufisadi za Suxtus Mapunda (aliyekuwa katibu mkuu wa jumuia hiyo, na kwa sasa ni mbunge wa Mbinga), leo kakamatwa na Takukuru kwa mahojiano zaidi na ikibidi kufikishwa mahakamani mapema iwezekanavyo..
Wakati huo huo Mdada Seki na aliyekuwa katibu katibu wa uvccm, Iringa wakiendelea kutafutwa.
Mytake: Chini ya Magufuli hakuna fisadi atakayebaki salama..
Ahojiwe na nani?Hapana kwanza anatakiwa aliyenunua Mv Bagamoyo ahojiwe
Tena ni mzee Mangula pekee...
.....wakikusanywa Ukoo WOTE unaweza kupata moja tu mengine yote majizi
kamata peleka mahakamani mbn hadithi kila siku hapa kazi tuLugumi Yupo kama ambavyo Lowasa yupo.Kwani kati yao kuna aliyehukumiwa na mahakama kuwa ana kosa ambavyo kila siku nyie ma CHADEMA hutuaminisha kuwa Lowasa hana kosa kwa kuwa hajawahi hukumiwa na mahakama.Naona mmekomalia Lugumi, LUGUMI kwa nini hamumusemi Lowasa na RICHMOND YAKE?
peleka mahakamaniSipingi Lugumi na kibaya ulishatolewa ufafanuzi na bunge lilishaunda kamati na kujiridhisha, ila mtu kama wewe huoni ufisadi wa mbowe na lowasa walivyouziana chama unakomaa na vitu vingine. Mwambieni mbowe arudishe chenji la lowasa ili awe huru kuamua mstakabali wa chama na siyo kila siku anaambiwa aache uanaharakati