Tetesi: Sixtus Mapunda Akamatwa na TAKUKURU

Tetesi: Sixtus Mapunda Akamatwa na TAKUKURU

Status
Not open for further replies.
Siku zote tunasema

CCM ndio wezi wa nchi hii

wameifilisi na wanaendelea kuifilisi

CCM yenyewe kama chama wameiba mali za umma...sembuse individuals

Ili nchi hii ipone inabidi CCM itolewe madarakani
Usipige kelele sana, hata huko mtafikia tu, it is just a matter of time, sisi huku CCM kwa bahati nzuri tuna utamaduni mzuri wa kuwajibishana kama hivyo, ila huko kwenu, hakuna mtu yeyote wenye dhamana ya kuuliza chochote wala kumwajibisha yoyote.
 
hapana..ijisafishe. siku zote unafiki ni sehemu ya siasa ndio maana kuna ufisadi mkubwa cdm. ruzuku inaliwa yote kijanja na wajanja.

kwanini TAKUKURU hawawapandishi CDM mahakamani kwa ulaji wa ruzuku?

Gosh ...eti CCM inajisafisha ..are u guys mad

Huu simply ni unafiki mwingine

Hii serikali haina nia ya kupambana na ufisadi

Jiulize wizara ya Ujenzi iliyokuwa chini ya magufuli haina jipu lolote? huko pako shwari kabisa? aisee bakini nyie kudanganywa.....at least nina akili ya kuweza kung'amua
 
Ndugu yangu millioni saba ni pesa nyingi,hata kama ungechangiwa ikapatikana ni afadhali hyo hela ikatumika kununua madawati wanetu wakasomea,si lazima katika kujadili mada utaje majina au kutumia kauli kali zitakazokuletea matatizo.Uungwana sio uoga,huu utawala hauna simile shauri yako.
Mimi sina shida na Mafisadi Kuwajibishwa, Naonya Juu ya Unafiki, Naomba Unisikie na Unisikie Vizuri, Mimi sidaiwi na Mtu, Sijawahi Kugusa sumni ya Mtu, Kuhusu Uhuru wa Kuongea Nitasama Ninayoona Ni ya Ukweli. Na hakuna wa Kunitisha, Sio Magufuli au Yeyote. Yeye Ni Mwanadamu Kama Mimi na Wewe, Acheni hofu za Ujinga. Magufuli ni Rais Kwa sababu ya Kura za Watu. Sio Mfalme wa Wafalme wala sio Mungu, Akifanya Mema Namtakia Mafanikio. Ila kama kwako yeye Ni Mfalme na Mungu, Mimi Kwangu ni Magufuli.
 
zungu, lugola na mwenzie, sixmund,nk tukisema maskani ya majizi na mafisadi ni lumumba muelewe
 
Tone ya JPM anapoongelea masuala ya ufisadi, ni kali na isiyo na masihara hata kidogo. Ukosefu wa uaminifu na tabia ya upigaji iliyoachwa ikaota mizizi katika awamu ya nne, ni vitu ambavyo kwa sasa ni sababu kubwa ya baadhi ya watu kupata magonjwa ya moyo.
hiyo inamuacha yeye pembeni? maana hata yeye alikuwa awamu hiyo ya
 
Usipige kelele sana, hata huko mtafikia tu, it is just a matter of time, sisi huku CCM kwa bahati nzuri tuna utamaduni mzuri wa kuwajibishana kama hivyo, ila huko kwenu, hakuna mtu yeyote wenye dhamana ya kuuliza chochote wala kumwajibisha yoyote.

Mimi nilishasema siku zote fikra zangu ziko huru....ninachotaka mimi Wezi wote popote walipo wachukuliwe hatua

eti mtafika tu....lini? why mnachelewa? msidhani watu wote ni wajinga

Kuna upuuzi mwingi tu mnaiba mali za umma alafu serikali yenu haichukui hatua miaka zaidi ya 53 halafu mnaendekeza comedy?

Juzi hapa TAKUKURU ime wa clear wabunge wa CCM kutokana na Tuhuma za wazi za Ufisadi...mnadhani akili zetu zilienda likizo?
 
Mimi sina shida na Mafisadi Kuwajibishwa, Naonya Juu ya Unafiki, Naomba Unisikie na Unisikie Vizuri, Mimi sidaiwi na Mtu, Sijawahi Kugusa sumni ya Mtu, Kuhusu Uhuru wa Kuongea Nitasama Ninayoona Ni ya Ukweli. Na hakuna wa Kunitisha, Sio Magufuli au Yeyote. Yeye Ni Mwanadamu Kama Mimi na Wewe, Acheni hofu za Ujinga. Magufuli ni Rais Kwa sababu za Kura za Watu. Sio Mfalme sio Mungu, Akifanya Mema Namtakia Mafanikio. Ila kama kwako yeye Ni Mfalme na Mungu, Mimi Kwangu ni Magufuli.
Sawa ndugu,ilikuwa ni tafakuri tu,uko huru kufanya lile lifurahishalo nafsi yako.

Uungwana si Uwoga
 
hiyo inamuacha yeye pembeni? maana hata yeye alikuwa awamu hiyo ya
Ukisikia vyama vya siasa vina miaka mingi ya uwepo tambua kuwa sababu kubwa ni ule uwezo wa kufanya mabadiliko yanayoendana na mahitaji ya wakati husika. CCM imekuwepo kwa miaka mingi na sababu ni busara inayofanya kazi ndani ya chama. Yeye kuwemo sio kigezo cha kuacha ufisadi na wizi, eti ziwe ni tabia za kawaida tu kwenye jamii.
 
Siku zote tunasema

CCM ndio wezi wa nchi hii

wameifilisi na wanaendelea kuifilisi

CCM yenyewe kama chama wameiba mali za umma...sembuse individuals

Ili nchi hii ipone inabidi CCM itolewe madarakani
Hakuna fisadi wa kukwepa mkono wa sheria mbele ya serikali ya magufuli wote watakwisha tu kuanzia chamani,uraiani,serikalini na mpaka kwenye vyama vya upinzani wote watanyooka tu.
 
Ukisikia vyama vya siasa vina miaka mingi ya uwepo tambua kuwa sababu kubwa ni ule uwezo wa kufanya mabadiliko yanayoendana na mahitaji ya wakati husika. CCM imekuwepo kwa miaka mingi na sababu ni busara inayofanya kazi ndani ya chama. Yeye kuwemo sio kigezo cha kuacha ufisadi na wizi, eti ziwe ni tabia za kawaida tu kwenye jamii.
hapana kwa sasa ccm haina cha busara wala nini inalazimisha aisee
 
Mimi nilishasema siku zote fikra zangu ziko huru....ninachotaka mimi Wezi wote popote walipo wachukuliwe hatua

eti mtafika tu....lini? why mnachelewa? msidhani watu wote ni wajinga

Kuna upuuzi mwingi tu mnaiba mali za umma alafu serikali yenu haichukui hatua miaka zaidi ya 53 halafu mnaendekeza comedy?

Juzi hapa TAKUKURU ime wa clear wabunge wa CCM kutokana na Tuhuma za wazi za Ufisadi...mnadhani akili zetu zilienda likizo?
Nyakati zimebadilika mkuu, mamlaka zinafanya kazi yake, tuache kuanticipate results kabla ya vitendo kufanyika. Swala la usimamizi wa sheria ni pana sana, na sio lazima kila anayetuhumiwa basi akutwe na hizo tuhuma. Ukishajua hilo basi utapunguza mzigo mkubwa sana wa lawama zisizokua na sababu kwa serikali.
 
Mnakamata vijizi vidogovidogo lakini majizi makubwa kama Lugumi yanakunywa kahawa na kujipongeza huku mnunuaji wa kivuko kibovu anasema analala nao mbele kwa mbele..imbombo ngafu.
Mkuu hujui kuwa Lowasa yupo kwenye Lugumi?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom