Tetesi: Sixtus Mapunda Akamatwa na TAKUKURU

Tetesi: Sixtus Mapunda Akamatwa na TAKUKURU

Status
Not open for further replies.
Siku zote tunasema

CCM ndio wezi wa nchi hii

wameifilisi na wanaendelea kuifilisi

CCM yenyewe kama chama wameiba mali za umma...sembuse individuals

Ili nchi hii ipone inabidi CCM itolewe madarakani

tatizo si chama bali watanzania wote si wazalendo kila mtu anaangalia lake.tukisema tusimamie haki unaweza kukuta tuna watu robo ya watanzania ndio wapo sahihi
 
tatizo si chama bali watanzania wote si wazalendo kila mtu anaangalia lake.tukisema tusimamie haki unaweza kukuta tuna watu robo ya watanzania ndio wapo sahihi

Hapana...that's too General...tutatakiwa tuangalie root cause

Root cause ...Ni CCM kulea na kujenga huu upuuzi kwa kipindi chote katika nchi hii

Solution ni kuiua hii CCM na kurejesha nidahamu nchini

Ukitaka kuelewa ninachosema jiulize.....Hakuna wizi au ufisadi au majipu katika wizara ya Ujenzi aliyokuwepo magufuli? why hapaguswi?

Fikiria ...ukipata jibu njoo hapa
 
Ukipambana na Wachafu wewe mwenyewe Uwe Msafi, Kwa Unafiki wa Mh. Magufuli kwenye siasa mimi sijui ila nahisi hata kwenye Ufisadi na Yeye yumo ila Mishipa ya aibu Imemkatikia. (Hili la yeye kuwepo kwenye Ufisadi mimi sina uhakika)

Kuna Mwanasiasa Mmoja Kenya aliyejulikana kama Josiah Mwangi Kariuki au JM. Kariuki. Huyu alipiga Kelele sana, akiwachachafya hata akina Jomo Kenyatta kuwa Mafisadi. Muda wote Mimi nikadhani Kuwa ni hero wa wanyonge. Siku Moja Mtoto wa Kenyatta (Mke Mkubwa) Pamoja na Wengine walimchukua Jengo la Usalama na huko wakamhoji juu ya Ufisadi wake yeye, Walimpiga na Kumvunja Mguu, Kisha wakamuua kwa wanaojua Forensic, waliomuua walionyesha hasira kuu naye kwani mwili wake ulipopatikana ulikuwa na majeraha mengi ya mateso!

Sasa Mimi Nadhani Vita dhidi ya Mafisadi Ni Nzuri, Nimefanya Kazi TRA enzi zile VAT inaanza, Na sijawahi kuchukua hata Kibaru cha mtu! Ila wanaojifanya Kupigana na Ufisadi sasa wanawalakini Mkubwa sana. I hope they are clean.

Msikilize Mkuu akizungumzia Milioni 200 Za Wajapani. Huku akiwa na Kitwanga,
 
Ikiwezekana Viongozi wote wa UVCCM taifa wachunguzwe hata wale waliopita akina Riz One!!
 
Kuna mapichapicha wanatuchezea hawa watwana kias ikiwa hujasanuka unaingia mkenge kabisa,niggers be chasing ghosts.Propaganda na manipulation ya public opinion is on an alltime high.
 
Aisee hilo Jina ni tusi kwangu

Nitakuripoti kwa MODS kutokana na tusi ulilonitukana

Tafadhali sana tuheshimiane...narudia tuheshimiane

heshima kitu cha bure

Ma Comrade ni wewe na wezi wenzako

Duh, unajua maana ya comrade??? Nimeangalia mahali fulani kuhusu maana ya neon hili comrade na wanasema hivi: "...The term comrade is used to mean "friend", "mate", "colleague", or "ally", and derives from the Iberian Romance language term camarada, literally meaning "chamber mate", from Latin camera "chamber" or "room"......

Anyway pamoja na kuwa nilikuwa na maana nzuri kwa kukuita comrade, nitatekeleza uamuzi wako...
 
Duh, unajua maana ya comrade??? Nimeangalia mahali fulani kuhusu maana ya neon hili comrade na wanasema hivi: "...The term comrade is used to mean "friend", "mate", "colleague", or "ally", and derives from the Iberian Romance language term camarada, literally meaning "chamber mate", from Latin camera "chamber" or "room"......

Anyway pamoja na kuwa nilikuwa na maana nzuri kwa kukuita comrade, nitatekeleza uamuzi wako...
please tuheshimiane
 
Ha ha ha ukiwaona akina Mapunda walivyo kuwa wanatoka povu kupindua maoni ya wananchi kwenye bunge maalum la katiba utafikiri walikuwa na uchungu Sana na wananchi kumbe ulikuwa uchungu wa kutetea vitambi vyao na Chama Chao mfuu.
Hata yule mwizi wa galaxy pale bmlk
 
Mkuu asnte sana kwa kutupatia kufuli la kuwaziba midomo hao majizi wa lumumba
halafu wao ndo wa kwanza kushangilia hii mahakama, ilhali kuna wajomba ndugu na jamaa zao kibao... na mimi naishangilia sana aisee

maana wamekaririshwa kuwa lowassa ndo fisadi sasa watashangaa
 
Halafu ndo waingie akina ROSTAM na Lowasa karami na mbowe
Yaani unairuka ile haja inayotokea mbele halafu unaikanyaga ile inayotokea nyuma!!!, wanasema CCM mbovu halafu mbadala wake ni watu wale wale waliokulia humo humo kwenye chama. Hizi akili zipo Tanzania peke yake.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom