Tetesi: Sixtus Mapunda Akamatwa na TAKUKURU

Tetesi: Sixtus Mapunda Akamatwa na TAKUKURU

Status
Not open for further replies.
TAKUKURU wakamkamate basi kama walivyowakamata hayo majizi yenu. Kama sivyo basi hizo ni blah blah za mfa maji tu
UVCCM ndio wamefufua uwizi wa huyo anayeitwa Mapunda ndio maana TAKUKURU wakaenda kumuhoji huyo mdaiwa... Sasa BAVICHA mkidai Ruzuku mtafukuzwa nyie na chama mtakiacha. Sasa BAVICHA simameni leo acheni kuwa misukule muhoji kwanini Mbowe alikiuzia chama magari chakavu kwa million 500. Hojini kwanini Tender zote anabeba Mbowe ndani ya Chama.. Hakika mkihoji hayo lazima TAKUKURU wamtie kimiani Mbowe..
 
Kuna siku CCM watakosa cha kuiba.watamuiba Rais..Tumwombee Rais wetu awe na afya njema tuone nyumba za serikali zinarudi pamoja na usagiri wa majini ukiimarika kuanzia na usafiri wa bagamoyo
 
Mimi ni mtu huru sana kifikra.....Mwizi yeyote sio rafiki yangu haijalishi yuko wapi.....Nini kinazuia hao wezi walioko chadema kukamatwa...tunailipa serikali hii ya CCM kodi zetu ifanye kazi...kwa nini haiwakamati hao wezi walioko Chadema...hatutaki politics za hisia hapa...serikali ina vyombo vyote kwa nini tuanze ku assume...come on..achen utani bana...we have a serious job ahead....serikali kwa nini haiwezi kuchukua hatua....is it an issue of incompetence? au nini?

Nini kinazuia vyombo vya serikali kwenda kiundani...acha jokes bana......serikali inatumia kodi zetu halafu hawataki kwenda kiundani kwenye serious issues?

Mimi nataka wakamatwe kama wanavyokamatwa MAJIZI MAARUFU ya CCM....Watu wa hovyo sana nyie CCM...Shame on you...look at how bad you are...wezi wakubwa nyie.

Hakuna kitu kama hicho...mnaendelea kuifisadi nchi kuwalipa IPTL mabilioni,Kivuko cha MV Dar es salaam kipo wapi? Wizi wa ESCROW,LUGUMI na vingenevyo...Mnadhani sisi ni wajinga sana eeeeh? we are not all ignorants

Duh, ningekuwa karibu nadhani ungenipiga mi-ngumi... aisee...una hasira sana...comrade, mchezo huu hauhitaji hasira....tehtehtehteh
 
Rostam ni mwanachama maarufu wa CCM hadi leo hii

Karamagi ni mwanachama maarufu wa CCM hadi leo hii

Mbowe ni mwenyekiti wetu asiye na doa hata moja kama angekuwa nalo TAKUKURU hao hawapo? mbona hawajamkamata kama wanavyowabeba wezi nyie CCM?

About Lowasa..sitasema Mengi...Muda ndio utawaumbua ..na mtaona aibu sana

Ahsante Mungu kwa kumuumba Lowasa.

View attachment 381917
akinyan'ganywa Ranchi alizojiuzia,viwanja kwa mamia, mashamba pamoja na nyumba za serekali alizo jiuzia mtajua tuu nani mwizi ni Rostam au Lowassa. unajua Lowassa kaingia ubia na wawekezaji wangapi kwa kipindi yeye ni waziri mkuu tuu?😡
 
...comrade

Aisee hilo Jina ni tusi kwangu

Nitakuripoti kwa MODS kutokana na tusi ulilonitukana

Tafadhali sana tuheshimiane...narudia tuheshimiane

heshima kitu cha bure

Ma Comrade ni wewe na wezi wenzako
 
akinyan'ganywa Ranchi alizojiuzia,viwanja kwa mamia, mashamba pamoja na nyumba za serekali alizo jiuzia mtajua tuu nani mwizi ni Rostam au Lowassa. unajua Lowassa kaingia ubia na wawekezaji wangapi kwa kipindi yeye ni waziri mkuu tuu?😡

aki>? aki?

Gosh..are u not mad?

Nani anazuia hatua hizo zisichukuliwe?

Acheni uzembe bana...nchi hii ni ya muhimu sana...kama Lowasa ni mchafu kiasi hicho kwa nini serikali ya CCM inazidi kumlinda?
 
Mimi ni mtu huru sana kifikra.....Mwizi yeyote sio rafiki yangu haijalishi yuko wapi.....Nini kinazuia hao wezi walioko chadema kukamatwa...tunailipa serikali hii ya CCM kodi zetu ifanye kazi...kwa nini haiwakamati hao wezi walioko Chadema...hatutaki politics za hisia hapa...serikali ina vyombo vyote kwa nini tuanze ku assume...come on..achen utani bana...we have a serious job ahead....serikali kwa nini haiwezi kuchukua hatua....is it an issue of incompetence? au nini?

Nini kinazuia vyombo vya serikali kwenda kiundani...acha jokes bana......serikali inatumia kodi zetu halafu hawataki kwenda kiundani kwenye serious issues?

Mimi nataka wakamatwe kama wanavyokamatwa MAJIZI MAARUFU ya CCM....Watu wa hovyo sana nyie CCM...Shame on you...look at how bad you are...wezi wakubwa nyie.

Hakuna kitu kama hicho...mnaendelea kuifisadi nchi kuwalipa IPTL mabilioni,Kivuko cha MV Dar es salaam kipo wapi? Wizi wa ESCROW,LUGUMI na vingenevyo...Mnadhani sisi ni wajinga sana eeeeh? we are not all ignorants

Yani hapa umecheza zaidi ya Messi.
Yani umewakusanya na wameonekana wote watoto wasio na hoja zaidi ya ushabiki ka mazuzu tu
 
Hivi ccm kuna msafi kweli watu wamefilisi taifa na chama mpaka wamekosa hata pesa za kuitisha mkutano wa kumchagua mwenyekiti wao.
 
Hivi ccm kuna msafi kweli watu wamefilisi taifa na chama mpaka wamekosa hata pesa za kuitisha mkutano wa kumchagua mwenyekiti wao.

CCM ni majizi ya ajabu sana

Hebu imagine..wazee wetu Enzi ya chama kimoja wamejenga viwanja vya mpira na wametumia kodi zao kununua maeneo mbalimbali...Vyama vingi vimeanza badala ya mali hizo kurudi serikalini chama ambacho kimejengwa kwa misingi ya wizi kimeamua kuziiba mali hizo
 
Sasa naamini serikali na vyombo vya dola vipo kazini. Jana mara baada ya UVCCM kutoa taarifa za ufisadi za Suxtus Mapunda (aliyekuwa katibu mkuu wa jumuia hiyo, na kwa sasa ni mbunge wa Mbinga), leo kakamatwa na Takukuru kwa mahojiano zaidi na ikibidi kufikishwa mahakamani mapema iwezekanavyo..

Wakati huo huo Mdada Seki na aliyekuwa katibu katibu wa uvccm, Iringa wakiendelea kutafutwa.

Mytake: Chini ya Magufuli hakuna fisadi atakayebaki salama..
Wakimkamata nyoka wa makengeza a.k.a mzee wa vijisenti nitaamini kuwa hakuna fisadi wa kubaki.
 
Takukuru hawa hawa walio wakamata kwa Mbwembwe kina Victor Mwambalasa na kina Kangi Lugola ??
 
Ninafikiri CCM hawakupiga vizuri mahesabu hata Mgufuli walikuwa hawamfahamu kiundani zaidi na walimpitisha kwa ajili ya kuwakomoa wapinzani,hawakujua kuwa Magufuli hana rafiki,aliposema kuwa ataanzisha mahakama ya mafisadi hawakuelewa akili zao ziliwapeleka kwa wapinzani wakifikiri kuwa mafisadi wako upinzani na ndio wanaolengwa na Magufuli.

Pia hawakutegemea Kama Magufuli angeanza na wahalifu waliotenda makosa tangu tawala zilizomtangulia,waliamini kuwa hata atakapoanza kuwashughulikia wahalifu ataanza na wahalifu watakaokuwa wanajitokeza katika utawala wake hivyo na Wao watapona kwa kuwa uharifu Wao ulifanyiki kipindi ambacho hakuwa Rais.

Aliposema chagua Magufuli napo hawakumuelewa,kumbe mwenzao alimanisha kuwa chagua Magufuli niwanyooshe CCM,alipoomba kupigiwa Kura na wapinzani Ili awe Rais wa waTanzania wote napo hawakumuelewa kumbe alimaanisha kuwa wapinzani wanipe Kura Ili nije niwanyooshe.

Sasa wote Kinyume na walivyotegemea (CCM) wanaisoma namba na wasipoangalia watabaki mifupa mitupu Kama majini yaliyokurupushwa na shetani kutoka kuzim na hawana pakusemea nafuu na wapinzani pamoja nakwamba nao wanaisoma namba wanapakusemea ndio maana wanaweza wakapata hata kanafasi kakuibuka na UKUTA.

Na kibaya zaidi katika uchaguzi wa Mwenyekiti,CCM walimpitisha kwa asilimia 100 wakifikiri kuwa ndio watamuhonga kumbe kwa nyuma mwenzao ndio kwanza ana wang'oka kwa kusema subirini nitawakomesha majizi wakubwa nyee.

Huku akiwa amejificha kwenye kivuli kikubwa cha kuwa tumikia wanyonge na masikini na Tanzania ya Magufuli na siyo Ile ya CCM ya kuunganisha Tanganyika na Zanzibar.
 
UVCCM ndio wamefufua uwizi wa huyo anayeitwa Mapunda ndio maana TAKUKURU wakaenda kumuhoji huyo mdaiwa... Sasa BAVICHA mkidai Ruzuku mtafukuzwa nyie na chama mtakiacha. Sasa BAVICHA simameni leo acheni kuwa misukule muhoji kwanini Mbowe alikiuzia chama magari chakavu kwa million 500. Hojini kwanini Tender zote anabeba Mbowe ndani ya Chama.. Hakika mkihoji hayo lazima TAKUKURU wamtie kimiani Mbowe..
Ok ok hebu weka evidence za unayoyasema...usiongozwe na ushabiki. weka facts sio propaganda
 
Rostam ni mwanachama maarufu wa CCM hadi leo hii

Karamagi ni mwanachama maarufu wa CCM hadi leo hii

Mbowe ni mwenyekiti wetu asiye na doa hata moja kama angekuwa nalo TAKUKURU hao hawapo? mbona hawajamkamata kama wanavyowabeba wezi nyie CCM?

About Lowasa..sitasema Mengi...Muda ndio utawaumbua ..na mtaona aibu sana

Ahsante Mungu kwa kumuumba Lowasa.

View attachment 381917
Namuona fisadi kuu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom