Ukipambana na Wachafu wewe mwenyewe Uwe Msafi, Kwa Unafiki wa Mh. Magufuli kwenye siasa mimi sijui ila nahisi hata kwenye Ufisadi na Yeye yumo ila Mishipa ya aibu Imemkatikia. (Hili la yeye kuwepo kwenye Ufisadi mimi sina uhakika)
Kuna Mwanasiasa Mmoja Kenya aliyejulikana kama Josiah Mwangi Kariuki au JM. Kariuki. Huyu alipiga Kelele sana, akiwachachafya hata akina Jomo Kenyatta kuwa Mafisadi. Muda wote Mimi nikadhani Kuwa ni hero wa wanyonge. Siku Moja Mtoto wa Kenyatta (Mke Mkubwa) Pamoja na Wengine walimchukua Jengo la Usalama na huko wakamhoji juu ya Ufisadi wake yeye, Walimpiga na Kumvunja Mguu, Kisha wakamuua kwa wanaojua Forensic, waliomuua walionyesha hasira kuu naye kwani mwili wake ulipopatikana ulikuwa na majeraha mengi ya mateso!
Sasa Mimi Nadhani Vita dhidi ya Mafisadi Ni Nzuri, Nimefanya Kazi TRA enzi zile VAT inaanza, Na sijawahi kuchukua hata Kibaru cha mtu! Ila wanaojifanya Kupigana na Ufisadi sasa wanawalakini Mkubwa sana. I hope they are clean.
Msikilize Mkuu akizungumzia Milioni 200 Za Wajapani. Huku akiwa na Kitwanga,