Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
mkuu hao sio mafisadi alaaLugumi & co. wako na wataendelea kuwa salama salimini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu hao sio mafisadi alaaLugumi & co. wako na wataendelea kuwa salama salimini
Unajua miTanganyika inapenda maigizo na mwenyeheri anaijua mitanganyika ndio maana sanaa haziishi kila sikuHizo zote ni siasa.
Kama mliweza kuwaachia kina kangi lugola, hawa mtashindwa nini?
Natazama nani mwenye ujasiri wa Magufuli sioni. Mpeni muda tu. Huwezi kuleta mabadiliko ndani ya nchi iliyoharibika kiasi hiki overnight na bila maumivu na mtikisiko kidogo.Siku zote tunasema
CCM ndio wezi wa nchi hii
wameifilisi na wanaendelea kuifilisi
CCM yenyewe kama chama wameiba mali za umma...sembuse individuals
Ili nchi hii ipone inabidi CCM itolewe madarakani
Umenikumbusha muvi ya akina Ligola.CCM kwa maigizo hawajambo
Na yeye angekamatwa na kuhojiwa kuhusu ufisadi unaodaiwa kufanya wakati wa zoezi la kuuza nyumba hizo au ikibidi hata vimada wahojiwe walipataje hizo nyumba wakiwa sio watumishi wa serikali.Tuone kama nyumba za serikali zitarudishwa!!!
Na mhusika kutinduliwa hadharani.
Apewe muda gan...?? kina lugola wameachiwa,lugumi hakuna kes tusubir ...hawa UVCCM au?Natazama nani mwenye ujasiri wa Magufuli sioni. Mpeni muda tu. Huwezi kuleta mabadiliko ndani ya nchi iliyoharibika kiasi hiki overnight na bila maumivu na mtikisiko kidogo.
Hapo ndipo huwa namkubali Magufuli.. Kuna mijitu ilikuwa inashabikia Ccm ili kuficha madhambi yao
Nadhani mahakama ya mafisadi itaanza na hawa hawaSasa naamini serikali na vyombo vya dola vipo kazini. Jana mara baada ya UVCCM kutoa taarifa za ufisadi za Suxtus Mapunda (aliyekuwa katibu mkuu wa jumuia hiyo, na kwa sasa ni mbunge wa Mbinga), leo kakamatwa na Takukuru kwa mahojiano zaidi na ikibidi kufikishwa mahakamani mapema iwezekanavyo..
Wakati huo huo Mdada Seki na aliyekuwa katibu katibu wa uvccm, Iringa wakiendelea kutafutwa.
Mytake: Chini ya Magufuli hakuna fisadi atakayebaki salama..
Hivi ni MV dar es salaam au MV bagamoyo?tunaomba wawakamate wote waliohusika kwenye ununuzi wa MV Dar es salaam maana kuna pesa ndefu sana ya walipa kodi imepotea pale
Kamua baba, kanyaga twende ngosha, misuli sasa inaanza kunyoshwa, akimalizana na ccm anaanza na ruzuku za vyama.Siku zote tunasema
CCM ndio wezi wa nchi hii
wameifilisi na wanaendelea kuifilisi
CCM yenyewe kama chama wameiba mali za umma...sembuse individuals
Ili nchi hii ipone inabidi CCM itolewe madarakani
K0kHapo ndipo huwa namkubali Magufuli.. Kuna mijitu ilikuwa inashabikia Ccm ili kuficha madhambi yao
Mama mwizi,Baba mwizi unategemea mtoto atakua malaika? Ccm wote ni wezi.
Sasa naamini serikali na vyombo vya dola vipo kazini. Jana mara baada ya UVCCM kutoa taarifa za ufisadi za Suxtus Mapunda (aliyekuwa katibu mkuu wa jumuia hiyo, na kwa sasa ni mbunge wa Mbinga), leo kakamatwa na Takukuru kwa mahojiano zaidi na ikibidi kufikishwa mahakamani mapema iwezekanavyo..
Wakati huo huo Mdada Seki na aliyekuwa katibu katibu wa uvccm, Iringa wakiendelea kutafutwa.
Mytake: Chini ya Magufuli hakuna fisadi atakayebaki salama..
Mkuu jina lako limeakisi comment yako.....
F. Anni ju me ikHapo ndipo huwa namkubali Magufuli.. Kuna mijitu ilikuwa inashabikia Ccm ili kuficha madhambi yao