Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku zote tunasema CCM si wezi, wezi ni viongozi. Haki ya Mungu Magufuli kweli ni Buldoza ameanza kung'oa visiki ndani ya chama chake? Nawahurumia wapinzani maana watakosa wimbo.Siku zote tunasema
CCM ndio wezi wa nchi hii
wameifilisi na wanaendelea kuifilisi
CCM yenyewe kama chama wameiba mali za umma...sembuse individuals
Ili nchi hii ipone inabidi CCM itolewe madarakani
Kwa hiyo wewe hujui sababu.Kamuulize aliekinunua kama kile kivuko kizima,kinafanya kazi,au tatizo miundo mbinu?
Unataka Mbowe akamatwe kwani Lugumi kakamatwa na hao TAKUKURU?? Kwahiyo taarifa ya CAG Uttouh ni ya kuokoteza na ya uongo?? Au mpaka nikuletee document kabisa za ofisi ya CAG hapa?? Zitto alisemaje kuhusu ruzuku?? Chacha Wangwe alisemaje kuhusu ruzuku?? Wako wapi sasahivi??khhaaaaaa...yaani wewe unaokoteza vihabari visivyo na uthibitisho wowote....unaleta hapa
Hoja ni Wizi wa UVCCM ambao hadi sasa TAKUKURU wanashughulika nao
Mbowe ni mtu safi...kama hayuko safi TAKUKURU wamkamate.....mbona wanaweza kukamata viongozi wa timu ya Simba wanashindwaje chadema?
Acheni kuokoteza okoteza.....you thieves have to face the reality...na ninyi UVCCM lazima muwe candidates namba moja wa mahakama ya mafisadi.....wezi wakubwa nyie
Siku zote tunasema
CCM ndio wezi wa nchi hii
wameifilisi na wanaendelea kuifilisi
CCM yenyewe kama chama wameiba mali za umma...sembuse individuals
Ili nchi hii ipone inabidi CCM itolewe madarakani
Usiwe masikini wa akili hivi ukiambiwa "kivuko kibovu" hujui maana yake au unajitoa ufahamuKwa hiyo wewe hujui sababu.
Wewe hujasema kitu cha maana hapa...usilete masuala ya vyama hapa...una maana huko CHADEMA hamna wezi huko???...
Nini kinazuia vyombo vya serikali kwenda kiundani...acha jokes bana......serikali inatumia kodi zetu halafu hawataki kwenda kiundani kwenye serious issues?Hivi unafikiri watu wakienda kiundani hawawezi kukuta wezi huko CHADEMA???
Hivi hujui sababu inayowafanya baadhi ya viongoziwa upinzani wawe kimya siku hizi???
Nchi kwa sasa ni salama zaidi chini ya CCM...
Hapa kazi tuu! Kila mtu afanye kaz halaliSasa naamini serikali na vyombo vya dola vipo kazini. Jana mara baada ya UVCCM kutoa taarifa za ufisadi za Suxtus Mapunda (aliyekuwa katibu mkuu wa jumuia hiyo, na kwa sasa ni mbunge wa Mbinga), leo kakamatwa na Takukuru kwa mahojiano zaidi na ikibidi kufikishwa mahakamani mapema iwezekanavyo..
Wakati huo huo Mdada Seki na aliyekuwa katibu katibu wa uvccm, Iringa wakiendelea kutafutwa.
Mytake: Chini ya Magufuli hakuna fisadi atakayebaki salama..
Sasa naamini serikali na vyombo vya dola vipo kazini. Jana mara baada ya UVCCM kutoa taarifa za ufisadi za Suxtus Mapunda (aliyekuwa katibu mkuu wa jumuia hiyo, na kwa sasa ni mbunge wa Mbinga), leo kakamatwa na Takukuru kwa mahojiano zaidi na ikibidi kufikishwa mahakamani mapema iwezekanavyo..
Wakati huo huo Mdada Seki na aliyekuwa katibu katibu wa uvccm, Iringa wakiendelea kutafutwa.
Mytake: Chini ya Magufuli hakuna fisadi atakayebaki salama..
Mbona Mbowe anawaibia ruzuku nyie mazuzu..Yaani ni wezi hadi wanaibiana wenyewe kwa wenyewe?? Duh kazi ipo aiseeeee
Una matatizo ya akili??Kama alivyooshwa Lowassa
Huna lolote!Tuone kama nyumba za serikali zitarudishwa!!!
Na mhusika kutinduliwa hadharani.
TAKUKURU wakamkamate basi kama walivyowakamata hayo majizi yenu. Kama sivyo basi hizo ni blah blah za mfa maji tuMbona Mbowe anawaibia ruzuku nyie mazuzu..