Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,833
- 11,173
Issue sio KUKAMATWA bali ni kutiwa hatiani(convicted)Sasa naamini serikali na vyombo vya dola vipo kazini. Jana mara baada ya UVCCM kutoa taarifa za ufisadi za Suxtus Mapunda (aliyekuwa katibu mkuu wa jumuia hiyo, na kwa sasa ni mbunge wa Mbinga), leo kakamatwa na Takukuru kwa mahojiano zaidi na ikibidi kufikishwa mahakamani mapema iwezekanavyo..
Wakati huo huo Mdada Seki na aliyekuwa katibu katibu wa uvccm, Iringa wakiendelea kutafutwa.
Mytake: Chini ya Magufuli hakuna fisadi atakayebaki salama..
Fisadi hawezi akanyooka kwa kuhojiwa na TAKUKURU
Then DPP anawafutia kesi
Wabunge akina Mwambalaswa Victor wa Chunya
Kangi Lugola wa Mwibara
na mwingine wa Moro
Wote wamefutiwa mashtaka ya rushwa
Kwa upinzani wa sasa CCM HAIWEZI mshtaki Mbunge wake avuliwe Ubunge waingie kwenye uchaguzi mwingine
Maana serikali itavuliwa nguo
Haya ya Sixtus ni porojo tu