clet 8
JF-Expert Member
- Mar 14, 2011
- 1,127
- 322
Yuko mbuzi beach!Lugumi yuko wapi???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yuko mbuzi beach!Lugumi yuko wapi???
Mkuu usitegemee chama kikubwa kama CCM kikose mafisadi, sio rahisi katu, ila hatua wanazochukua zinatia moyo, hv unadhani ukawa wakipewa nchi, haya yanayotokea ndani ya ccm, hayatatokea kwa ukawa ? Ngoja siku utakapoona taarifa ya ukaguzi ya chadema juu ya matumizi ya ruzuku zinazotolewa na serikali kama hutakaa kinywa wazi. Mimi naamini kuwa viongozi/wanasiasa asilimia kubwa ni wapiga deal, na sio tanzania tu bali karibu nchi zote, hasa Afrika. Sitegemei haya yanayotokea ndani ya ccm siku ukawa wakipewa nchi hayatatokea.Siku zote tunasema
CCM ndio wezi wa nchi hii
wameifilisi na wanaendelea kuifilisi
CCM yenyewe kama chama wameiba mali za umma...sembuse individuals
Ili nchi hii ipone inabidi CCM itolewe madarakani
Wameenda kuelekezwa mbinu za kujiokoa kama akina Kangi LugolaMnakamata vijizi vidogovidogo lakini majizi makubwa kama Lugumi yanakunywa kahawa na kujipongeza huku mnunuaji wa kivuko kibovu anasema analala nao mbele kwa mbele..imbombo ngafu.
Rostam ni mwanachama maarufu wa CCM hadi leo hii
Karamagi ni mwanachama maarufu wa CCM hadi leo hii
Mbowe ni mwenyekiti wetu asiye na doa hata moja kama angekuwa nalo TAKUKURU hao hawapo? mbona hawajamkamata kama wanavyowabeba wezi nyie CCM?
About Lowasa..sitasema Mengi...Muda ndio utawaumbua ..na mtaona aibu sana
Ahsante Mungu kwa kumuumba Lowasa.
View attachment 381917
Mafisadi sasa watakionaSasa naamini serikali na vyombo vya dola vipo kazini. Jana mara baada ya UVCCM kutoa taarifa za ufisadi za Suxtus Mapunda (aliyekuwa katibu mkuu wa jumuia hiyo, na kwa sasa ni mbunge wa Mbinga), leo kakamatwa na Takukuru kwa mahojiano zaidi na ikibidi kufikishwa mahakamani mapema iwezekanavyo..
Wakati huo huo Mdada Seki na aliyekuwa katibu katibu wa uvccm, Iringa wakiendelea kutafutwa.
Mytake: Chini ya Magufuli hakuna fisadi atakayebaki salama..
CCMwote kina nani?
Ccm imezungukwa na genge la wezi.CCM imejaa wezi na mafisadi.
Lugumi Yupo kama ambavyo Lowasa yupo.Kwani kati yao kuna aliyehukumiwa na mahakama kuwa ana kosa ambavyo kila siku nyie ma CHADEMA hutuaminisha kuwa Lowasa hana kosa kwa kuwa hajawahi hukumiwa na mahakama.Naona mmekomalia Lugumi, LUGUMI kwa nini hamumusemi Lowasa na RICHMOND YAKE?
Hivi wewe si ulikuwa humu kumwita lowassa fisadi? Au tufukue makaburi na leo.. Post zenu za zamani zimefanya watu wawaone nyie wote CCM na CDM ni wachumia tumbo tu
Bado Lugumi na nyumba za serikali, nyingine mtaongezea
Huyu Lugumi nae ni mjinga sana.. Amtafute Mbowe ampe million 500 tu utaona Mbowe atakavyowatuma nyumbu waje kumsafisha..
Lugumi play it smart man kama Lowassa anavyowapa manyumbu kazi ya kumsafisha..
Siku zote tunasema
CCM ndio wezi wa nchi hii
wameifilisi na wanaendelea kuifilisi
CCM yenyewe kama chama wameiba mali za umma...sembuse individuals
Ili nchi hii ipone inabidi CCM itolewe madarakani[/QUOTE
Umesahau juzi tu hapa Bavicha wameiba Milion 10.. Na hizi zilikua Fedha za posho, Vijana wakaiba.. Wanajifanya wameporwa.. Je ikitokea bavicha wakawa wana Fedha nyingi, kama kidogo walichonacho kinaibwa, je wakiwa nacho kikubwa.. Na sijasikia yoyote kuchukuliwa hatua
Na wale wa mabehewa feki na kivuko kibovu na escrow
Richmond na Dowans sikuhizi hazitajwi..
Mdau,huyo si wa kwanza kukamatwa na TAKUKURU,weeengi walikamatwa na mwishowe DPP akaondoa kesi zao mahakamni,kesi ya mwisho ni ya LOOGOLER &CoSasa naamini serikali na vyombo vya dola vipo kazini. Jana mara baada ya UVCCM kutoa taarifa za ufisadi za Suxtus Mapunda (aliyekuwa katibu mkuu wa jumuia hiyo, na kwa sasa ni mbunge wa Mbinga), leo kakamatwa na Takukuru kwa mahojiano zaidi na ikibidi kufikishwa mahakamani mapema iwezekanavyo..
Wakati huo huo Mdada Seki na aliyekuwa katibu katibu wa uvccm, Iringa wakiendelea kutafutwa.
Mytake: Chini ya Magufuli hakuna fisadi atakayebaki salama..
Chenge,jitu patel,yusuf manji,tanil somaiya,lugumimadabida huwezi tenganisha ufisadi na chama chakavu...99% ya mafisadi nchi hii ni makada wa chama chakavuHalafu ndo waingie akina ROSTAM na Lowasa karami na mbowe
Na LOWASA, muongeze hapaBado Lugumi na nyumba za serikali, nyingine mtaongezea
MV DSM na Nyumba za serikali ni jipu linalonuka uvundoRichmond na Dowans sikuhizi hazitajwi..