Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lugumi Yupo kama ambavyo Lowasa yupo.Kwani kati yao kuna aliyehukumiwa na mahakama kuwa ana kosa ambavyo kila siku nyie ma CHADEMA hutuaminisha kuwa Lowasa hana kosa kwa kuwa hajawahi hukumiwa na mahakama.Naona mmekomalia Lugumi, LUGUMI kwa nini hamumusemi Lowasa na RICHMOND YAKE?Lugumi yuko wapi???
mkuu,na yule aliye kula hela ya kununua uniform za jeshi la polisi na kula mabilioni ya pesa?tunaomba wawakamate wote waliohusika kwenye ununuzi wa MV Dar es salaam maana kuna pesa ndefu sana ya walipa kodi imepotea pale
Hapo hakuna jipya zaidi ya kiini macho tu, wako wapi kina lugola?Sasa naamini serikali na vyombo vya dola vipo kazini. Jana mara baada ya UVCCM kutoa taarifa za ufisadi za Suxtus Mapunda (aliyekuwa katibu mkuu wa jumuia hiyo, na kwa sasa ni mbunge wa Mbinga), leo kakamatwa na Takukuru kwa mahojiano zaidi na ikibidi kufikishwa mahakamani mapema iwezekanavyo..
Wakati huo huo Mdada Seki na aliyekuwa katibu katibu wa uvccm, Iringa wakiendelea kutafutwa.
Mytake: Chini ya Magufuli hakuna fisadi atakayebaki salama..
mkuu:hivi kati ya Chadema na CCM Ni Nani Ana Dola?Lugumi Yupo kama ambavyo Lowasa yupo.Kwani kati yao kuna aliyehukumiwa na mahakama kuwa ana kosa ambavyo kila siku nyie ma CHADEMA hutuaminisha kuwa Lowasa hana kosa kwa kuwa hajawahi hukumiwa na mahakama.Naona mmekomalia Lugumi, LUGUMI kwa nini hamumusemi Lowasa na RICHMOND YAKE?
Sipingi Lugumi na kibaya ulishatolewa ufafanuzi na bunge lilishaunda kamati na kujiridhisha, ila mtu kama wewe huoni ufisadi wa mbowe na lowasa walivyouziana chama unakomaa na vitu vingine. Mwambieni mbowe arudishe chenji la lowasa ili awe huru kuamua mstakabali wa chama na siyo kila siku anaambiwa aache uanaharakatiNi kweli hakuna fisadi atakayebaki salama isipokuwa Lugumi
Na wale wa rada na escrowNi kweli hakuna fisadi atakayebaki salama isipokuwa Lugumi
mkuu,na yule aliye kula hela ya kununua uniform za jeshi la polisi na kula mabilioni ya pesa?
Na wale wa mabehewa feki na kivuko kibovu na escrowHalafu ndo waingie akina ROSTAM na Lowasa karami na mbowe
Na yule aliye nunua mv dsmTuone kama nyumba za serikali zitarudishwa!!!
Na mhusika kutinduliwa hadharani.
Hata kwa kina lugola tuliamini hivyo lkn kiko wapi leo hii?Mbinga JIMBO WAZI
hahahaha umeona eeehHapana kwanza anatakiwa aliyenunua Mv Bagamoyo ahojiwe