Tetesi: Sixtus Mapunda Akamatwa na TAKUKURU

Tetesi: Sixtus Mapunda Akamatwa na TAKUKURU

Status
Not open for further replies.
Rostam ni mwanachama maarufu wa CCM hadi leo hii

Karamagi ni mwanachama maarufu wa CCM hadi leo hii

Mbowe ni mwenyekiti wetu asiye na doa hata moja kama angekuwa nalo TAKUKURU hao hawapo? mbona hawajamkamata kama wanavyowabeba wezi nyie CCM?

About Lowasa..sitasema Mengi...Muda ndio utawaumbua ..na mtaona aibu sana

Ahsante Mungu kwa kumuumba Lowasa.

View attachment 381917

Sijui uko dunia ya wapi eti ROSTAM ni mwnachama maarufu wa ccm
 
Sipingi Lugumi na kibaya ulishatolewa ufafanuzi na bunge lilishaunda kamati na kujiridhisha, ila mtu kama wewe huoni ufisadi wa mbowe na lowasa walivyouziana chama unakomaa na vitu vingine. Mwambieni mbowe arudishe chenji la lowasa ili awe huru kuamua mstakabali wa chama na siyo kila siku anaambiwa aache uanaharakati

Lugumi imefunikwa kimyakimya
 
Siku zote tunasema

CCM ndio wezi wa nchi hii

wameifilisi na wanaendelea kuifilisi

CCM yenyewe kama chama wameiba mali za umma...sembuse individuals

Ili nchi hii ipone inabidi CCM itolewe madarakani
Hapana Shaka wewe utakuwa mwendesha bodaboda uliyempigia kura Lowasa
 
Sipingi Lugumi na kibaya ulishatolewa ufafanuzi na bunge lilishaunda kamati na kujiridhisha, ila mtu kama wewe huoni ufisadi wa mbowe na lowasa walivyouziana chama unakomaa na vitu vingine. Mwambieni mbowe arudishe chenji la lowasa ili awe huru kuamua mstakabali wa chama na siyo kila siku anaambiwa aache uanaharakati
Naona mafisadi wa UVCCM katika ubora wenu
 
Akimaliza aje kwenye hii saccos yetu chagadema kuna watu wameuza saccos fedha wanegawana chumbani,Ruzuku pia kuna mtu mmoja tu anakula,Uongoz wa saccos anaung'ang'ania kama vile alizaliwa nao.Ukioji lazima Utumbuliwe.Baba Magu njoo na huku
 
Siku zote tunasema

CCM ndio wezi wa nchi hii

wameifilisi na wanaendelea kuifilisi

CCM yenyewe kama chama wameiba mali za umma...sembuse individuals

Ili nchi hii ipone inabidi CCM itolewe madarakani
Alafu chama gani kichukue? .....jamani hebu tuwe wa kweli kwenye hii issue tuache kudanganya na. ...hebu ona MHE. JPJM rais wetu anavyo jitahidi. ..hebu tumuogope Mwenye Enzi Mungu, tusaidiane na rais wetu kujenga nchi yetu.
 
Huo ufisadi wenu wa huko CCM msiufanye ikawa kiki mwisho wa siku mkakaa chemba na kusameheana, vijana bado wanasota na ajira,
 
Ha ha ha ukiwaona akina Mapunda walivyo kuwa wanatoka povu kupindua maoni ya wananchi kwenye bunge maalum la katiba utafikiri walikuwa na uchungu Sana na wananchi kumbe ulikuwa uchungu wa kutetea vitambi vyao na Chama Chao mfuu.
 
Lugumi Yupo kama ambavyo Lowasa yupo.Kwani kati yao kuna aliyehukumiwa na mahakama kuwa ana kosa ambavyo kila siku nyie ma CHADEMA hutuaminisha kuwa Lowasa hana kosa kwa kuwa hajawahi hukumiwa na mahakama.Naona mmekomalia Lugumi, LUGUMI kwa nini hamumusemi Lowasa na RICHMOND YAKE?
hiyo inapaswa kuitwa mahakama ya ccm hahahah maana woooooote ni ccm
MADHAMBI YA CCM.jpg
 
Siku zote tunasema

CCM ndio wezi wa nchi hii

wameifilisi na wanaendelea kuifilisi

CCM yenyewe kama chama wameiba mali za umma...sembuse individuals

Ili nchi hii ipone inabidi CCM itolewe madarakani
Bad luck uchaguzi uliopita wote walikuwa wanagombea uraisi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom