Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Hapana. Msituchukie wote. Mimi nina kadi ya CCM mwanachama toka mwaka 1985 madogo wengi wamekuja wamenikuta akina mwashamba hawa akina Tlatlaa, huyu mamasamia2025 ni mdada ambaye amekuja ccm miaka hii akidhani naye ni mwanasiasa.
Mimi nlipinga mambo ya hovyo ya kuuza nyumba za Serikali kwa bei chee ya Mkapa. Nlipinga Ufisadi uliokubuhu kipindi cha Kikwete na madawa ya kulevya. Nlipinga matendo ya kikatili kwa wapinzani wakati wa Magufuli na kupongeza alipofanya vizuri.
Sasa napinga Ufisadi Uliokubuhu wa Samia, wizi na ukatili kwa watu walio kinyume chake. Uroho wa madaraka na tamaa kubwa anayoonesha. Napinga haya matendo na nabaki kuwa mwana CCM Hiki chama kinahitaj kufanyiwa overhaul. Kirudishwe kwa wananchi wa kawaida.
Huwa nikirudi Tanzania naona hali inazidi kuwa mbaya. Maskini wengi na matajiri wachache ambao wanafaidi kodi za watanzania. Na nchi haina kiongozi kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake. Nchi imepwaya hakuna kiongozi. Kuna majizi na mafisadi yamejaa. Ambayo yakikosorewa yanakimbilia kudhuru watu.
Vijana wengi wameamua kuuacha uanaume na kuwa mashoga.wanajiita chawa. Chawa ni shoga au msagaji anajipendekeza kwa jinsia ambayo inamtendea kwa namna ya kumpa kitu ashibe. Wamo humu wengi sana. Hatutaki ccm ya wezi na majambazi.