Siyo lazima umpige mke/mpenzi wako, mnaweza kuelewana kwa mazungumzo


[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kudadeki
 
Umetisha kwa hilo
 
Nunua tu nyingine mkuu, huyo uliyenae sasa kwa vile sio wa Manzese hataivunja. Ila na wewe udhibiti simu yako ili asione sms zisizomhusu.
Mwanaume anaepiga mwanamke anamatatizo ya akili
 
Shida ni kwamba ukipewa uhuru saaana huwa mnajisahau na kuona hamuwezi kufanya chochote, hilo ni kosa la kiufundi mnalolifanya kwa makusudi au kutokujua, mwisho wa siku mwanaume lazima utaona anakushushia kipondo middle weight ili kukuweka sawa na kukukumbusha kwamba mstari huu usivuke...
Ugonile
 
Sijawahi piga mke Wala mpenzi Nina ndoa ya miaka 14

Sijawahi piga mke Wala mpenzi Nina ndoa ya miaka 14

Angalieni na ombeeni tu siku mkija kuwapiga isiwe kwa panga au gunia za mkaa
 
Ndagha kalumbu
 
Angalieni na ombeeni tu siku mkija kuwapiga isiwe kwa panga au gunia za mkaa

Siwezi piga mtu mzima, what do I want to achieve? Yani nategemea matokeo gani baada ya ku piga? Mkishindwana si anaenda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…