Siyo lazima umpige mke/mpenzi wako, mnaweza kuelewana kwa mazungumzo

Mwaka 2013 Hasira zake za kukuta message isiyoeleweka kwenye Nokia Asha 200 yangu akaanza kunipiga vibao vya mgongo namuangalia tu kila nikimpanga haelewi akaona aitoshi akaenda beba jiwe nje akaja kunirushia sebuleni lingenipata ningeshakuwa kilema au marehemu nikalikwepa likavunja kioo cha tv yangu kichogo ya aina ya JVC

Nilienda funga mlango nilichomfanya hatakaa asahau

Nb : nilijifunza kutodeti tena na mademu wa uswahilini kwetu Manzese
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kweli...lakini kupigwa jamani mimi hapana naomba Mungu isijenikuta na ndio maana mara zote huwa najitahidi sana kujishusha maugomvi siwezag ndio ikawe kipigo
Kabla mke hajatulia ndani, huwa anachezea kwanza kidogo. Akishachezea ndio anatulia. Mkuu hii ID ni mpya lakini mwandiko wa zamani[emoji23]
 
Mwaka 2013 Hasira zake za kukuta message isiyoeleweka kwenye Nokia Asha 200 yangu akaanza kunipiga vibao vya mgongo namuangalia tu kila nikimpanga haelewi akaona aitoshi akaenda beba jiwe nje akaja kunirushia sebuleni lingenipata ningeshakuwa kilema au marehemu nikalikwepa likavunja kioo cha tv yangu kichogo ya aina ya JVC

Nilienda funga mlango nilichomfanya hatakaa asahau

Nb : nilijifunza kutodeti tena na mademu wa uswahilini kwetu Manzese
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we jamaaa wewe.
 
hivi mwanamke anakuambia "" katika wanaume na wewe unajiita mwanaume?""
[emoji23][emoji23] afu mbele za majirani

Nimeshuhudia rafiki yangu anaambiwa na mke wake kuwa "" ndo mana hata kut***ba hujui mwanaume suruali ww""[emoji23][emoji23]

aaah weee jamaa alipiga nusu kuuua

anyway Tuwatunze na kuwajali wake zetu
nashukuru huyu wangu hayuko perfect so am i but we are happy
 
[emoji23][emoji23] kama una mkono mwepesi mwanamke wa hivyo unaweza ua kwa kipigo.
 
hivi mwanamke anakuambia "" katika wanaume na wewe unajiita mwanaume?""
[emoji23][emoji23] afu mbele za majirani

Nimeshuhudia rafiki yangu anaambiwa na mke wake kuwa "" ndo mana hata kut***ba hujui mwanaume suruali ww""[emoji23][emoji23]

aaah weee jamaa alipiga nusu kuuua

anyway Tuwatunze na kuwajali wake zetu
nashukuru huyu wangu hayuko perfect so am i but we are happy
Aisee hawa viumbe wanazingua sanaa
 
Hahahahahaha...!!! Noma sana aisee
 
Back
Top Bottom