Siyo lazima uwe mlokole

Amina
 
Ukiwa na upendo huwezi tukana wala kuwatolea maneno ya uongo na ya kuudhi wengine

Jifunze kuwa na upendo toka moyoni mwako na sio mdomoni mwako

Huna upendo ila unaongea neno upendo
Asante sana Madam
 
"Siyo lazima uwe mlokole ndiyo utende mema,waweza kuwa mwema tu kimatendo na kimaneno bila kujiita mlokole....yatupasa kutenda mema"

Imenibariki sana,walokole ni viumbe wanafki wengi wao,siyo wote.
Napenda kutenda mema ila cpnd kuwa mlokole
Hakika na ndiyo ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…