Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AminaMHUBIRI 12:1-3
1 Mkumbuke Muumba wako siku za ujana wako, Kabla hazijaja siku zilizo mbaya, Wala haijakaribia miaka utakaposema, Mimi sina furaha katika hiyo.
2 Kabla jua, na nuru, na mwezi, Na nyota, havijatiwa giza; Kabla ya kurudi mawingu baada ya mvua;
3 Siku ile walinzi wa nyumba watakapotetema; Hapo wenye nguvu watakapojiinamisha; Na wasagao kukoma kwa kuwa ni haba; Na hao wachunguliao madirishani kutiwa giza;
Naona tuko kiroho zaidi.
Mnafki namba moja ni Wewe
Ila Mungu wetu ni wa rehema kumbuka ulipokosea umrudie
Hakika na ndiyo ukweli"Siyo lazima uwe mlokole ndiyo utende mema,waweza kuwa mwema tu kimatendo na kimaneno bila kujiita mlokole....yatupasa kutenda mema"
Imenibariki sana,walokole ni viumbe wanafki wengi wao,siyo wote.
Napenda kutenda mema ila cpnd kuwa mlokole