Siyo lazima uwe mlokole

Siku zote watu wanakufa tu mkuu jiepushe na taarifa mbaya na kaa mbali na vyanzo rahisi viletavyo taarifaa mbaya Kwa urahisi
 
Hakika....

WOKOVU ni mpango wa Mungu kumtafuta Mwwnadamu

KUOKOKA ni mpango wa Mwanadamu kumtafuta Mungu

Unapoamua kumtafuta Mungu ni maamuzi sahih ambayo yatakuwezesha kuishi Maisha ambayo yakumpendeza Mungu,.
Katka kuisha mapenzi ya Mungu ndipoTunda la Roho(Matendo ya Roho)yanapozaliwa ndani yako katika utu wa ndani na ukijizoeza kuishi Kwa kutenda mema unakuwa automatically sio tena Ile yakujitahidi

Ni jambo jema mleta Mada kutukumbusha hilo πŸ™πŸΏπŸ™πŸΏ
 
Sijui kwann nimechelewa kuiona hii thread. Lakin anyway acha nikupe tano kwa mesej bora iliyojitosheleza.

I mean ubarikiwe sana aunty wa wanangu.
 
Dada To yeye, hapana, kuna jambo si bure..!!
 
Barikiwa sanaπŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…