Siyo lazima uwe mlokole

Siyo lazima uwe mlokole

Siyo lazima upige kelele wakati wa kuomba ndiyo uonekane wafanya ibada ya kweli,waweza sali kimyakimya na bado moyo wako ukapata amani

Siyo lazima uwe mlokole ndiyo utende mema,waweza kuwa mwema tu kimatendo na kimaneno bila kujiita mlokole....yatupasa kutenda mema

Sijui ila nahisi ni nyakati za kuomba ....hatujui siku wala saa tutakapofumba macho daima.Watu wanakufa kwa kasi kweli siku hizi....ajali,kuuana,vita....muda wowote waweza iacha dunia...usichoke kutenda mema[emoji120][emoji120][emoji120]
Siku zote watu wanakufa tu mkuu jiepushe na taarifa mbaya na kaa mbali na vyanzo rahisi viletavyo taarifaa mbaya Kwa urahisi
 
Hakika....

WOKOVU ni mpango wa Mungu kumtafuta Mwwnadamu

KUOKOKA ni mpango wa Mwanadamu kumtafuta Mungu

Unapoamua kumtafuta Mungu ni maamuzi sahih ambayo yatakuwezesha kuishi Maisha ambayo yakumpendeza Mungu,.
Katka kuisha mapenzi ya Mungu ndipoTunda la Roho(Matendo ya Roho)yanapozaliwa ndani yako katika utu wa ndani na ukijizoeza kuishi Kwa kutenda mema unakuwa automatically sio tena Ile yakujitahidi

Ni jambo jema mleta Mada kutukumbusha hilo ๐Ÿ™๐Ÿฟ๐Ÿ™๐Ÿฟ
 
Siyo lazima upige kelele wakati wa kuomba ndiyo uonekane wafanya ibada ya kweli,waweza sali kimyakimya na bado moyo wako ukapata amani

Siyo lazima uwe mlokole ndiyo utende mema,waweza kuwa mwema tu kimatendo na kimaneno bila kujiita mlokole....yatupasa kutenda mema

Sijui ila nahisi ni nyakati za kuomba ....hatujui siku wala saa tutakapofumba macho daima.Watu wanakufa kwa kasi kweli siku hizi....ajali,kuuana,vita....muda wowote waweza iacha dunia...usichoke kutenda mema๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
Sijui kwann nimechelewa kuiona hii thread. Lakin anyway acha nikupe tano kwa mesej bora iliyojitosheleza.

I mean ubarikiwe sana aunty wa wanangu.
 
Siyo lazima upige kelele wakati wa kuomba ndiyo uonekane wafanya ibada ya kweli,waweza sali kimyakimya na bado moyo wako ukapata amani

Siyo lazima uwe mlokole ndiyo utende mema,waweza kuwa mwema tu kimatendo na kimaneno bila kujiita mlokole....yatupasa kutenda mema

Sijui ila nahisi ni nyakati za kuomba ....hatujui siku wala saa tutakapofumba macho daima.Watu wanakufa kwa kasi kweli siku hizi....ajali,kuuana,vita....muda wowote waweza iacha dunia...usichoke kutenda mema๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
Dada To yeye, hapana, kuna jambo si bure..!!
 
Hakika....

WOKOVU ni mpango wa Mungu kumtafuta Mwwnadamu

KUOKOKA ni mpango wa Mwanadamu kumtafuta Mungu

Unapoamua kumtafuta Mungu ni maamuzi sahih ambayo yatakuwezesha kuishi Maisha ambayo yakumpendeza Mungu,.
Katka kuisha mapenzi ya Mungu ndipoTunda la Roho(Matendo ya Roho)yanapozaliwa ndani yako katika utu wa ndani na ukijizoeza kuishi Kwa kutenda mema unakuwa automatically sio tena Ile yakujitahidi

Ni jambo jema mleta Mada kutukumbusha hilo ๐Ÿ™๐Ÿฟ๐Ÿ™๐Ÿฟ
Barikiwa sana๐Ÿ™๐Ÿ™
 
Back
Top Bottom