Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NitamwekaYes, picha ya Simba, unamjua Simba Mnyama? sio yule wa picha Mnyama, yule ni wa Insta Mnyama, yule ni Utopolo Mnyama, unamjua Simba?
Siku zote watu wanakufa tu mkuu jiepushe na taarifa mbaya na kaa mbali na vyanzo rahisi viletavyo taarifaa mbaya Kwa urahisiSiyo lazima upige kelele wakati wa kuomba ndiyo uonekane wafanya ibada ya kweli,waweza sali kimyakimya na bado moyo wako ukapata amani
Siyo lazima uwe mlokole ndiyo utende mema,waweza kuwa mwema tu kimatendo na kimaneno bila kujiita mlokole....yatupasa kutenda mema
Sijui ila nahisi ni nyakati za kuomba ....hatujui siku wala saa tutakapofumba macho daima.Watu wanakufa kwa kasi kweli siku hizi....ajali,kuuana,vita....muda wowote waweza iacha dunia...usichoke kutenda mema[emoji120][emoji120][emoji120]
Umeifanya akili yng ichangamke zaidi siku ya jana au kuna jirani alikuvuruga kwa ibada yake ndani kwa kelele๐๐๐๐hapana....ni siku tu nayo mkuu
Yeah, ni kwa zamu tu. Natangulia leo kesho ananifata mwingine...Hakika...Leo nimeandika huenda kesho nisiwepo daima au nikawepo.Mungu aendelee kutukumbusha
Sijui kwann nimechelewa kuiona hii thread. Lakin anyway acha nikupe tano kwa mesej bora iliyojitosheleza.Siyo lazima upige kelele wakati wa kuomba ndiyo uonekane wafanya ibada ya kweli,waweza sali kimyakimya na bado moyo wako ukapata amani
Siyo lazima uwe mlokole ndiyo utende mema,waweza kuwa mwema tu kimatendo na kimaneno bila kujiita mlokole....yatupasa kutenda mema
Sijui ila nahisi ni nyakati za kuomba ....hatujui siku wala saa tutakapofumba macho daima.Watu wanakufa kwa kasi kweli siku hizi....ajali,kuuana,vita....muda wowote waweza iacha dunia...usichoke kutenda mema๐๐๐
Asa itakuaje siku ya Umul qiama? nikitenda mema na ni lazima nitende na mabaya.?Ni kweli
Dada To yeye, hapana, kuna jambo si bure..!!Siyo lazima upige kelele wakati wa kuomba ndiyo uonekane wafanya ibada ya kweli,waweza sali kimyakimya na bado moyo wako ukapata amani
Siyo lazima uwe mlokole ndiyo utende mema,waweza kuwa mwema tu kimatendo na kimaneno bila kujiita mlokole....yatupasa kutenda mema
Sijui ila nahisi ni nyakati za kuomba ....hatujui siku wala saa tutakapofumba macho daima.Watu wanakufa kwa kasi kweli siku hizi....ajali,kuuana,vita....muda wowote waweza iacha dunia...usichoke kutenda mema๐๐๐
Thank you..!!!People change๐
Barikiwa sana๐๐Hakika....
WOKOVU ni mpango wa Mungu kumtafuta Mwwnadamu
KUOKOKA ni mpango wa Mwanadamu kumtafuta Mungu
Unapoamua kumtafuta Mungu ni maamuzi sahih ambayo yatakuwezesha kuishi Maisha ambayo yakumpendeza Mungu,.
Katka kuisha mapenzi ya Mungu ndipoTunda la Roho(Matendo ya Roho)yanapozaliwa ndani yako katika utu wa ndani na ukijizoeza kuishi Kwa kutenda mema unakuwa automatically sio tena Ile yakujitahidi
Ni jambo jema mleta Mada kutukumbusha hilo ๐๐ฟ๐๐ฟ
Amina๐๐ฟBarikiwa sana๐๐