Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
Haya... Wanasema wameku miss sana aunty yao na wanakupenda pia ๐๐๐๐๐wasalimu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya... Wanasema wameku miss sana aunty yao na wanakupenda pia ๐๐๐๐๐wasalimu sana
Jambo la kushukuru hakika iyo nayo ni Hatua hongera ktk hiloNoo,watu hubadilika mkuu
Ameen my lovely sista ๐Barikiwa sana
maana ya 'Ulokole' ni nini ?Siyo lazima upige kelele wakati wa kuomba ndiyo uonekane wafanya ibada ya kweli,waweza sali kimyakimya na bado moyo wako ukapata amani
Siyo lazima uwe mlokole ndiyo utende mema,waweza kuwa mwema tu kimatendo na kimaneno bila kujiita mlokole....yatupasa kutenda mema
Sijui ila nahisi ni nyakati za kuomba ....hatujui siku wala saa tutakapofumba macho daima.Watu wanakufa kwa kasi kweli siku hizi....ajali,kuuana,vita....muda wowote waweza iacha dunia...usichoke kutenda mema๐๐๐
Teh ๐๐๐ teh teh teh haya bhana...๐๐Ujuavyo wewe mkuu๐
Dhehebu gani ilo๐Amina
Oooooh wale wastarabu kwakwerLutheran