Siyo lazima uwe mlokole

Siyo lazima uwe mlokole

Siyo lazima upige kelele wakati wa kuomba ndiyo uonekane wafanya ibada ya kweli,waweza sali kimyakimya na bado moyo wako ukapata amani

Siyo lazima uwe mlokole ndiyo utende mema,waweza kuwa mwema tu kimatendo na kimaneno bila kujiita mlokole....yatupasa kutenda mema

Sijui ila nahisi ni nyakati za kuomba ....hatujui siku wala saa tutakapofumba macho daima.Watu wanakufa kwa kasi kweli siku hizi....ajali,kuuana,vita....muda wowote waweza iacha dunia...usichoke kutenda mema๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
maana ya 'Ulokole' ni nini ?
 
ishi nao kinafki tu, hawawezi kuisha tena ndo wanaongezeka kwasababu ya hawa kina mwamposa
 
Back
Top Bottom