Siyo mpenzi sana wa Soka lakini itoshe kusema kwamba he is a G.O.A.T!

Pole Ronaldo katoka
 
Pele alicheza kipind watu wengi walikuwa ni mapoyoyo , Pele angecheza sa hv angepata taabu Sana
 
Most goals:
◉ 5 - Messi
◎ 5 - Mbappé

Most assists:
◉ 3 - Messi
◎ 3 - Kane
◎ 3 - Fernandes
◎ 3 - Griezmann

Most shots:
◉ 27 - Messi
◎ 22 - Mbappé

Most chances created:
◉ 18 - Messi
◎ 17 - Griezmann
 

Malalamiko yakizidi muone daktari
 
Dunia haitaisha wapuuzi, badala kuzingatia mechi watu hua wanaenda kutafuta moment zao na kuendekeza mihemko yao. Alvarez ndio aliekua Hero wa Argentina kwa mechi ya jana.
 

He is a genius!

 
Dunia haitaisha wapuuzi, badala kuzingatia mechi watu hua wanaenda kutafuta moment zao na kuendekeza mihemko yao. Alvarez ndio aliekua Hero wa Argentina kwa mechi ya jana.

Uliona goli la Pili? Kama haukuwa moved na Messi na Goli la pili basi tafuta hobby nyingine kama soka ni hobby yako!

 
Miss hata tuzo zake zote 2 za Balloon D'O ni za utata.

2010 alilalamikiwa kuchukua tuzo ya aliyekuwa anastahili Iniester.

2020 pia alilalamikiwa sababu alichukua tuzo ya Lewandosky hata Messi naye alikiri hivyo [emoji23]

Miss anaandaliwa kupewa tuzo ya mchongo kwa kupewa penalty zaidi ya 5 zote, anayekataa kuwa life is not fair ajiite Taahira [emoji28]
 
ahaa kumbe umemuona Messi kwenye mechi 1 tu na imekutosha kumjaji career yake yote ya miaka 18??
bathi thawaaaa
 
Yaani hawa messi na Ronaldo bwana ni kama huku kwetu simba na yanga yaani makubwa yote anayofanya na aliyofanya giroud kwenye world cup iliyopita na hii watu wamekaa kimya ila akifanya messi au Ronaldo kelele kibao
Mda mwinginwe tuache ushabiki twende kwa namba tu zisizodanganya

Giroud amechangia timu yake magoli mangapi na Messi mangapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…