Siyo mpenzi sana wa Soka lakini itoshe kusema kwamba he is a G.O.A.T!

Siyo mpenzi sana wa Soka lakini itoshe kusema kwamba he is a G.O.A.T!

Hakika timu Christian mnatakiwa kunywa sumu tu,hakuna namna
Miss hata tuzo zake zote 2 za Balloon D'O ni za utata.

2010 alilalamikiwa kuchukua tuzo ya aliyekuwa anastahili Iniester.

2020 pia alilalamikiwa sababu alichukua tuzo ya Lewandosky hata Messi naye alikiri hivyo [emoji23]

Miss anaandaliwa kupewa tuzo ya mchongo kwa kupewa penalty zaidi ya 5 zote, anayekataa kuwa life is not fair ajiite Taahira [emoji28]
 
Sawa timu Andunje [emoji847]
20221214_183355.jpg

Jamaa yenu hata namba hapati[emoji23][emoji23] kuanzia Manyumbu fc ambapo akienda Moses Phiri anakuwa na namba ya uhakika...Mpaka Timu yake ya taifa ya wazee kina Mapepe
 
Nilivokua nikiwasikia watu wanavyomlinganisha Messi na Pele nilijua huyo messi ni bonge la mchezaji sasa jana nikasema nimtazame dhidi ya Croatia nimemuona ni mchezaji wa wakawaida sana sio kama anavyokuzwa na vyombo vya habari au mashabiki yani hata PARK JI SUNG hamfikii nilichogundua ni kwamba kuna kampeni maalum ya kumkuza huyu mchezaji.
Kwangu pele ni bora, ila messi sio mchezaji wa kawaida.

Kwa kizazi hiki cha kina ronaldo cr7, kawaacha mbali mnooo, cr7 alijitahidi kujiweka karibu yake, ila si daraja lake,...

Andunje hana mpinzani kizazi hiki.
 
Back
Top Bottom