Siyo mpenzi sana wa Soka lakini itoshe kusema kwamba he is a G.O.A.T!

Siyo mpenzi sana wa Soka lakini itoshe kusema kwamba he is a G.O.A.T!

Nilivokua nikiwasikia watu wanavyomlinganisha Messi na Pele nilijua huyo messi ni bonge la mchezaji sasa jana nikasema nimtazame dhidi ya Croatia nimemuona ni mchezaji wa wakawaida sana sio kama anavyokuzwa na vyombo vya habari au mashabiki yani hata PARK JI SUNG hamfikii nilichogundua ni kwamba kuna kampeni maalum ya kumkuza huyu mchezaji.
Kama ujinga una stage/grade, basi wewe upo ile ya juu kabisa.
 
Nimeshuhudia Maradona, Gaucho, Zidane na sasa Mess, bado kwangu the GOAT is Gaucho.

Ila kwa wenye umri mdogo, Mess ndiyo GOAT wao
 
Back
Top Bottom