Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Huyo andunje Messi mwaka huu atavimba kichwa sana akichukua kombe.uhondo wa ngoma uingie ucheze
Chaguzi ni mbili uvimbe kichwa naye au umwangalie akivimbaHuyo andunje Messi mwaka huu atavimba kichwa sana akichukua kombe.
Anaweza asivimbe akaishia tu kujishika kichwa, Yule dogo Kilian ana mota miguuni.Chaguzi ni mbili uvimbe kichwa naye au umwangalie akivimba
Muda utaongeaAnaweza asivimbe akaishia tu kujishika kichwa, Yule dogo Kilian ana mota miguuni.
Kama ujinga una stage/grade, basi wewe upo ile ya juu kabisa.Nilivokua nikiwasikia watu wanavyomlinganisha Messi na Pele nilijua huyo messi ni bonge la mchezaji sasa jana nikasema nimtazame dhidi ya Croatia nimemuona ni mchezaji wa wakawaida sana sio kama anavyokuzwa na vyombo vya habari au mashabiki yani hata PARK JI SUNG hamfikii nilichogundua ni kwamba kuna kampeni maalum ya kumkuza huyu mchezaji.
Goli zote 3 zimetokana na Messi.Uliona goli la Pili? Kama haukuwa moved na Messi na Goli la pili basi tafuta hobby nyingine kama soka ni hobby yako!
Argentina wakifanikiwa kumzima mbape, kombe wanabeba kwa ushindi mzuri. France hakuna mids na beki mule.Anaweza asivimbe akaishia tu kujishika kichwa, Yule dogo Kilian ana mota miguuni.
Hiyo jumapili patachimbika.Argentina wakifanikiwa kumzima mbape, kombe wanabeba kwa ushindi mzuri. France hakuna mids na beki mule.
Siyo mpenzi sana wa Soka lakini itoshe kusema kwamba he is the greatest.
Respect!
View attachment 2445935