Siyo polisi wote ni wanyama naamini wengine wanaumizwa na yanayoendelea

Siyo polisi wote ni wanyama naamini wengine wanaumizwa na yanayoendelea

Kuboma

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2025
Posts
1,466
Reaction score
2,581
Huo ndiyo ukweli siyo polisi wote ni wanyama na kuna wengine hawapendezwi na yanayoendelea inchini kama kupiga watu kuteka mpaka kuuwa,
Naamini hawa tutakuwa nao na ndiyo watakaotupa habari zote za nani aliyemuwa fulani na mengine mengi,tukeshe tukiomba saa ya ukombozi iko karibu sana
 
Ni kweli. Ila wengi wao ni wanyama.
Kumbuka wanaopigwa kutekwa mpaka kuuwa kuna wengine na ndugu na hao polisi kwa jinsi ukatili unavyosambaa atakayebaki salama ni mama Aduli na mwanaye wengine wote wataguswa ndiyo kwa namna moja au nyingine watatulahisisishia ukombozi
 
Yote haya ni sababu ya uongozi mbovu huko juu usio na maadili, uadilifu, utu, wala kujali Watanganyika na mali zao.

Tuhakikishe tuna mifumo mizuri, thabiti ya kupata viongozi waadilifu kuanzia juu kabisa kwanza, Viongozi waadilifu hawataruhusu uhuni chini
 
Back
Top Bottom