Yote haya ni sababu ya uongozi mbovu huko juu usio na maadili, uadilifu, utu, wala kujali Watanganyika na mali zao.
Tuhakikishe tuna mifumo mizuri, thabiti ya kupata viongozi waadilifu kuanzia juu kabisa kwanza, Viongozi waadilifu hawataruhusu uhuni chini