Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
- Thread starter
-
- #21
Kimsingi unaishi kwa kile kikutokacho mdomoni, ambacho kwako hakitofautiani sana na kile unachokitoa chooni.Ulitaka yaote maua au? Mbona mambo mengine mnaibua ni ya kishenzi kabisa?
Anataka aone vibarua wakibeba hayo mabeam kichwani ndio aamini kazi inaendelea😂😂Tulia wewe ,hapo hamna gari ya zege itakayopita ila zaidi utaona crane zinakuja na kupachika vitu flani vinaitwa I beam ambavyo vinatengezwa sehemu nyingine kabisa na ambavyo kuwekwa hapo havichukui hata siku tatu
Unapokuwa mjinga kiasi hiki, hupaswi hata kujibiwaKimsingi unaishi kwa kile kikutokacho mdomoni, ambacho kwako hakitofautiani sana na kile unachokitoa chooni.
Hahahaha, aisee watajitoa kafara, ili kesho waandikwe magazetini watu wajue kazi inaendelea..😂😂😂😂😂😂😂😂ila kuna wabongo mna mambo ya ajabu sana,ulizeni hata jamaa zenu wanaoishi dar.
hapo kamata watu wako busy wakikusikia wanajirusha chini wafe tu.
Huwa vichwa kopo havina hata cha kuongeza katika jamii.Unapokuwa mjinga kiasi hiki, hupaswi hata kujibiwa
[emoji1]yaani nakwambia hawa watu ukiwa mtulivu utajua nia yao sio njema na nchi hii kama wanavyojinasibu.Kuna punguani mmoja nae alisema Waturuki wamerudi kwao. Ni hivi wajenzi maegawanyika wengine wako kwenye madaraja,wengine wako station,wengine wanaweka nguzo na nyaya etc.
Uwezo wa kumudu nauli bila ruzuku itawezekanaKama hujasomea ufundi utaona kama imesimama kwa kuangalia majani yaliyoota chini. Hapo mradi unaendelea vizuri tu. Tuombe Mungu mradi uishe kwa wakati. Kwa sisi tuliokaa Ulaya yale matreni yanarahisisha sana usafiri na usafirishaji na ku-boost uchumi
Mie nilikuwa natamani sana yawepo na TZ, its like ndoto yangu inatimia
Angepewa mchina kazi ingeshamalizika saa tatu asubuiKuna punguani mmoja nae alisema Waturuki wamerudi kwao. Ni hivi wajenzi maegawanyika wengine wako kwenye madaraja,wengine wako station,wengine wanaweka nguzo na nyaya etc.
Kuna watu tofauti duniani.[emoji1]yaani nakwambia hawa watu ukiwa mtulivu utajua nia yao sio njema na nchi hii kama wanavyojinasibu.
what box are talking about??Kuna watu tofauti duniani.
Akina nyie mko radhi kuimba na kuabudu mkiziacha akili zenu nyumbani.
Thinking outside the box is a taboo.
Think outside the box buddy, iakusaidia maishani.what box are talking about??
ungekaa kufikiri nje ya box ungeshajua kwamba unatakiwa utafiti jambo kwa kina kabla hujaamua kulielezea.
wewe ni kilaza tu,umekomaa na mabox baada ya kupigwa za matako.Think outside the box buddy, iakusaidia maishani.
Hao kina Francis Da Don ni mapunguani au wanatumwa kupinga kila wazo bila kutumia akili.
Hutaki nyasi ziote hapo chini? Si ndiyo vizuri ili hizo nguzo zishike zaidi?!
wewe ni kilaza tu,umekomaa na mabox baada ya kupigwa za matako.