Na maneno mazuri na kauli njeama asili yake ni Mwenyezi muumba kinyume chake maneno ya ovyo yenye kejeli na kuhukumu kama haya yanayotoka mdomoni mwako asili yake ni SHETANI ALIYE LAANIWA.Niliwahi kuambiwa na Mtu Mmoja kuwa ukiona Mwanadamu ( Mtu ) anapenda mno Kusali tena kwa Kujionyesha kwa Watu basi ni zaidi ya Shetani.
Una tatizo kichwani na nahisi Humphrey Polepole alilichokonoa.Kumbe nawe huelewagi. Sijang'amua nini?
Mimi nimemuuliza kwanini ameongea kwa mafumbo na sio kwamba sijaelewa
Pharisees are usually hypocrites.Niliwahi kuambiwa na Mtu Mmoja kuwa ukiona Mwanadamu ( Mtu ) anapenda mno Kusali tena kwa Kujionyesha kwa Watu basi ni zaidi ya Shetani.
Anaongea kwa mafumbo ili wasikie na wasielewe.Mbona unaongea kwa mafumbo😎😎😎
Kama wewe pia unapenda kuhukumu wenzio, tena kwa kuwanyooshea kidole..wewe ni zaidi ya shetani nakuhakikishia[emoji851][emoji41]Kama wewe unavyopenda kusali na kujionyesha hapa JF kuwa unajua kila kitu basi wewe ni zaidi ya Shetani.
@mama D ni mbishi balaaaaDah Bibie yani wewe pekee yake kila siku kwenye mijadala ya wanaume. Ebu njoo hapa mara moja tu
Mayalla uteuzi ataisikia tbc tuu
Kwahiyo awatoe huko kwenye safehouse alikowaficha ?Niliwahi kuambiwa na Mtu Mmoja kuwa ukiona Mwanadamu ( Mtu ) anapenda mno Kusali tena kwa Kujionyesha kwa Watu basi ni zaidi ya Shetani.
Umemgeuka Baba yako baada ya dawa kukuingia, tulia dawa ikuingie ndiyo kwanza kumekuchaNiliwahi kuambiwa na Mtu Mmoja kuwa ukiona Mwanadamu ( Mtu ) anapenda mno Kusali tena kwa Kujionyesha kwa Watu basi ni zaidi ya Shetani.
Wengine hatukuona fumbo lolote pale. Tulielewa na kusonga mbele. Lakini akija mtu akasema hicho kilicho wazi ni fumbo hakika hakuelewa. Au ni mkuda tu. Kaelewa lakini anasema ni fumbo ili ... Jikumbushe mabandiko ya P. na makala za Economist. Eti hivi ni kweli na kama ni hivyo wazalendo tutanyamazaje? Mwenye mali kasikia kapotezea. Lakini mpambe kalivalia kengere. Si unajua tena wana nguvu. Mwenye mali anahamaki. Kumbe nililopotezea wameliona wengi. Na wako kinyume cha huyo bwege. Atanitambua. Kabendera akatundikwa. Nani amsimamishe kizimbani? Hayupo. Kama si ugali ni mboga atamwaga. DPP kachukua mamilioni ya dola.Kumbe nawe huelewagi. Sijang'amua nini?
Mimi nimemuuliza kwanini ameongea kwa mafumbo na sio kwamba sijaelewa
Hapo naona nzige tu. Hiyo h ni nyongeza tu. Mbwembwe. Baba wa nzige kapaniki!Na maneno mazuri na kauli njeama asili yake ni Mwenyezi muumba kinyume chake maneno ya ovyo yenye kejeli na kuhukumu kama haya yanayotoka mdomoni mwako asili yake ni SHETANI ALIYE LAANIWA.
'AUDHUBILLAH MINA SHAITWAN RAJIIM'.
Umemaliza⁉️🤔⁉️Niliwahi kuambiwa na Mtu Mmoja kuwa ukiona Mwanadamu ( Mtu ) anapenda mno Kusali tena kwa Kujionyesha kwa Watu basi ni zaidi ya Shetani.
Bangua D mkubwa anajifulia mwenyewe😅😅😅😅😅Wengine hatukuona fumbo lolote pale. Tulielewa na kusonga mbele. Lakini akija mtu akasema hicho kilicho wazi ni fumbo hakika hakuelewa. Au ni mkuda tu. Kaelewa lakini anasema ni fumbo ili ... Jikumbushe mabandiko ya P. na makala za Economist. Eti hivi ni kweli na kama ni hivyo wazalendo tutanyamazaje? Mwenye mali kasikia kapotezea. Lakini mpambe kalivalia kengere. Si unajua tena wana nguvu. Mwenye mali anahamaki. Kumbe nililopotezea wameliona wengi. Na wako kinyume cha huyo bwege. Atanitambua. Kabendera akatundikwa. Nani amsimamishe kizimbani? Hayupo. Kama si ugali ni mboga atamwaga. DPP kachukua mamilioni ya dola.
Mama D kama umeelewa si uende kufua nguo za D kesho shule! Umbea mwingine? Genta dola hana. Anatembelea pasi ya kijani bila kujua kuna mpya haijapigwa chapa. Membe anajua sasa. Kaguswa kanukia! Insider kamtahadharisha Genta asikubali pm. Hapo sasa Genta ajisalimishe kwa majeshi ya PK na M7. Mhutu hoi kwa Bahima Empire!
Na ndiye aliyemtibu Morrison lile busha alilotupiwa na Utopolo
Hawa wengine wamelivamia jukwaa lkn pia hawajisumbui kuangalia historia za wana jfNa siyo Kuishia 'Kuijua' tu. bali mwambie nimekulia pia 'Kimalezi' katika Nyumba za Kiserikali na Msasani chini ya 'Muasisi' Hayati Mwalimu Nyerere.
Moja alihoji tu zilipo nyaraka alizohitaji kuondoa dukuduku lake(kujiridhisha) zaidi kuhusu utata uliojitokeza(nyaraka zinazotakiwa kupatikana ambazo siyo za SIRI) na mwingine kutekeleza jukumu lake LA kuihabarisha,kuielimisha na kuiwezesha kupata ukweli wa kilichokuwa kinatokea(MKIRU) kuhusu maafa.Hawa Watanzania wenzetu hawakuwa wahalifu ila hawakusamehewa lakini wezi,wabadhirifu,walaRUSHWA wa awamu hii waweza kusamehewa endapo watamfurahisha Mzee Baba(Sheria/Kanuni za Uwajibikaji zimekosa kuzingatiwa).Ben na Azory kwanza walikuwa na kosa gani la wao kutakiwa kusamehewa?
Hilo Hilo lilosababisha wasionekaneBen na Azory kwanza walikuwa na kosa gani la wao kutakiwa kusamehewa?