Siyo Utoto mitandaoni, Mr Slim is pretty dangerous!

Siyo Utoto mitandaoni, Mr Slim is pretty dangerous!

Mkuu mfano wa marekani haufanani..... Udhaifu sio tukio la september 11 ila lingejirudia rudia ndio ungesema marekani ina udhaifu ila kwakuwa tukio kma lile halijajirudia marekani imeprove wako vzuri intelijentsia

Ssa turudi TZ kapotea saanane.... Kaja lisu kumiminiwa risasi....kaja azory.... Bado hatujui makinikia yaliibiwaje.... Almasi tukapigwa.... Tembo wameuzwa je huoni udhaifu upo TISS

I hope awamu hii watajirekebisha maana wametucost sana
Unafahamu kuwa Marekani ni nchi inayoongoza kwa mauaji yaani watu kuuana? Kama ilivyo Afrika Kusini? Au unalijua tukio la september 11 pekee? Unajua US maraisi wawili waliuawa kaa risali mbona tukio lilijirudia? Changamoto zipo bse mifumo hii ya usalama imebuniwa na wanadamu si malaika ndo maana kuna mianya ya waovu kupenya.

Niliuliza swali- nitajie operation tatu pekee unazozijua ambazo majasusi wetu Tz walifanya kuilinda nchi. Kama hujui basi huna sababu ya kushabikia ukilingajisha wakati huna taarifa. Yafaa tufanye ulinganifu tukiwa na taarifa za kweli walau 70%kweli kwa level yetu kama raia. Kuliko kubishana hapa kishabiki. Kumbuka ujasusi si sawa na siasa. Kuna issues kuzielewa zinahitaji ufuatiliaji wa karibu na uwezo wa kutafsiri matukio. Maana unawezaona kitu fulani kimefanyika lkn kina maana tofauti kabisa na kilivyoonekana machoni penu.
 
Mkuu, Mr. slim tunamjua vizuri sana. Useme tu the guy is lucky. kuna kipindi alipona assassination baada ya kutanguliza motorcade ambayo yeye hakuwemo. For your information, kwenye huo msafara-No one is alive today..kwa sababu wote waliangamia...
Unaongelea issues ambazo ni obvious. Yy ameingia kwa mtutu so unadhani ataishi kiraia arelax kama ali yokua anaishi JK? Hawezi hata siku moja so lzm akaze sana na kuishi kwa akili zaidi

Hapa naona mnamshabikia sana PK lkn hamuijui system ya TZ hiki ndo kituko ss. Unafananishaje usivyovijua??

FYI Slim kajifunzia ujasusi hapa kwetu JAPO haimzuii yy kujiongeza na kuwa bora. Pia kwa kusema hivyo simaanishi yy si bora ktk medani hizo lah!! Lkn pia sikubaliani na wanaodhani Tz iko duni kwenye medani hizo.
 
Ndg yangu umewahi sikia operation za kijeshi tena za kijasusi zikatangazwa kama afande Mambosasa anavyotangaza akikamata silaha au majambazi?
Mimi nadhani tupunguze woga. Kuna shida hapa naona baadhi ya wachangiaji wengi wanaonesha kumjua vzr Mr Slim (japo nina shaka kama wanamjua vzr kweli) lkn hawajui kabis syatems za nchi yao. Matokeo yake mnaleta hapa unnecesaary tensions. Haya mambo ya kupandikiiana watu ni mchezo unaofanywa na nchi zote duniani.

Nashauri tuweke basi bidii kujifunza mambo yetu ili tuwe na ujasiri na system zetu na pengine tutaweza kushauri pale tunapoona mapungufu
Mkuu,kwa zama hizi za kupimana mikojo sio rahisi kupata hiyo courage ya kujifunza ya kwetu.nawaza tuu.

Hebu fikiria hadi leo bado tupo nao amini kua kipindi cha maasi ya jeshi 64 ati baba wa taifa aliveshwa dera ili waweze kumtorosha,mara oooh alipitishwa chini ya ardhi hadi kigamboni.[emoji16] [emoji16] [emoji16].no one can tell the truth in public.
 
Unafahamu kuwa Marekani ni nchi inayoongoza kwa mauaji yaani watu kuuana? Kama ilivyo Afrika Kusini? Au unalijua tukio la september 11 pekee? Unajua US maraisi wawili waliuawa kaa risali mbona tukio lilijirudia? Changamoto zipo bse mifumo hii ya usalama imebuniwa na wanadamu si malaika ndo maana kuna mianya ya waovu kupenya.

Niliuliza swali- nitajie operation tatu pekee unazozijua ambazo majasusi wetu Tz walifanya kuilinda nchi. Kama hujui basi huna sababu ya kushabikia ukilingajisha wakati huna taarifa. Yafaa tufanye ulinganifu tukiwa na taarifa za kweli walau 70%kweli kwa level yetu kama raia. Kuliko kubishana hapa kishabiki. Kumbuka ujasusi si sawa na siasa. Kuna issues kuzielewa zinahitaji ufuatiliaji wa karibu na uwezo wa kutafsiri matukio. Maana unawezaona kitu fulani kimefanyika lkn kina maana tofauti kabisa na kilivyoonekana machoni penu.
Uwezo wa kutafsiri matukio ni tofauti kwa viumbe hai wote, nakubali. Matukio yaliofanywa kwa ushindi na Tanzania ni mengi, nakubali. Nitajie matukio matatu yaliofanywa na Tanzania kwa ushindi?
 
Unaongelea issues ambazo ni obvious. Yy ameingia kwa mtutu so unadhani ataishi kiraia arelax kama ali yokua anaishi JK? Hawezi hata siku moja so lzm akaze sana na kuishi kwa akili zaidi

Hapa naona mnamshabikia sana PK lkn hamuijui system ya TZ hiki ndo kituko ss. Unafananishaje usivyovijua??

FYI Slim kajifunzia ujasusi hapa kwetu JAPO haimzuii yy kujiongeza na kuwa bora. Pia kwa kusema hivyo simaanishi yy si bora ktk medani hizo lah!! Lkn pia sikubaliani na wanaodhani Tz iko duni kwenye medani hizo.
Mkuu, it's a misunderstanding. nikuombe ujaribu kupitia comments upya..
 
Endeleeni kumwaga nondo wakuu ili nasie wakogea kopo tupate lolote la kubishania kwenye vijiwe vyetu vya bodaboda
[emoji3] [emoji3]
Mr. threader, you miss the point here! hakuna direct evidence kuwa MOSSAD ndo mentor wa spies from mr. Slim..hizo ni speculations tu. In short, nchi zote za ukanda huu wa maziwa makuu haziaminiani. kila mmoja ana m-spy mwenzake kimya kimya. For those who are luck (spies) wanafanikisha mission na kurudi nyumbani, but wengi wanafia huko kusikojulikana.
Mr. Slim ni opportunist sana, anajaribu kujiweka karibu na Israel ili apata advantage ya kupata silaha and military training...but he ain't worth it!

Mkuu, kwa nini usijiulize ma-spy wa tz walioko Rwanda etc? unakumbuka Rwanda walishawahi kumkataa balozi mpya wa Tanzania kwamba ni spy? kwenye hiyo issue, namjua mpaka aliyevujisha siri kwa Mr. Slim..but alishashughulikiwa siku nyingi. Tension ya JK na PK, Mr.Slim alikuwa halali ndani. alikuwa anahama hama kila usiku... Do you Know why? connect the dot!

sijui exposure yako in real life, lakini Mr. Slim siyo wa kuogopwa kihivyo. kwa wale adui zake wanaouwa wakiwa ughaibuni, ni sababu nyingi ikiwepo security issue ya nchi husika. kwa mfano, SA hata wewe unaweza fanya tukio lolote na uka-walk away with it! kuna mtu anaitwa Joel mutabazi, former bodyguard wa kagame ndo mtu wa mwisho kuongea na Patrick Kalegeya kwenye simu minutes away before his demise. huyu mutabazi ni adui sasa na serikali ya kigali. UNHCR # yake ipo kwenye bracket. The true assassin ni jamaa anaitwa Apollo Gafaranga, rafiki yake na marehemu kalegaya. so the point here is, ni rahisi kujua rafiki yako yuko wapi...and kalegaya trusted his friend without doubt!

Ntabana.jpg
1526922_1439549639596522_1439995272_n1.jpg

MUUWAJI WA KALEGEYA and owner of Cine Star Cinema in Nyamilambo.

14527-leisure.jpg
cinestar-cinema-2.jpg

ITAENDELEA...
 
Lengo langu ni kumjibu chipa GM na kumfafanulia kidogo kuhusu uzi wake aliodai ni Utoto mtandaoni.

Kwanza nataka ujue kuwa, lisemwalo lipo, Kama halipo linakuja.
Wewe humjui vizuri Mr slim,unachukulia udogo wa nchi yake ndo unamdharau, hapo umeonyesha kuwa una upeo mdogo Sana wa kuchambua mambo ya kiintelijensia.

Kama udogo wa nchi ingekuwa ni sababu ya nchi pia kuwa dhaifu basi Israel ingekuwa mikononi mwa waarabu leo hii.

Nataka nikuambie ndugu yangu, Sisi hadi sasa tupo uchi kabisa mbele ya Mr Slim.

Labda tu hujui kuwa Mr slim anapigwa tafu na shirika hatari la kijasusi duniani "MOSSAD ".mziki wa MOSSAD hata CIA wanapiga magoti.

Lengo la Mr slim ni kuweka vibaraka wake lake zone ,si umeshamsikia yule anayepiga kelele ya miaka saba? Unadhani kajituma? Yule katumwa.

Kwa taarifa yako, Mr slim ana ma spies wa kike zaidi ya 200 wapo ndani ya nchi yetu ,ni warembo wa haja, na wapo sekta mbalimbali wakifanya kazi waliyotumwa.

Unajua ni kwa nini intelligence yetu imeshuka ubora? Ni baada ya kundi flani kuanza kukandamiza kundi flani.

Sasa hapo unatakiwa ujue kuwa, baadhi ya spies wetu wapo ktk lile kundi linalokandamizwa na huwezi kuwajua wala kuwahisi.

Narudia tena kukuambia, mdharau mwiba mguu hufanyeje?

Usimchukulie poa Mr slim ndo maana wanaompinga anawafuata hadi nje ya nchi na kuwaua.

Who trains his spies? Ni MOSSAD hao.

Kama hatutachukua hatua za makusudi Mr slim anaweza kutufanya kitu mbaya sana, that's why mzee wa diplomasia na demokrasia alitaka kumtoa nduki Mr Slim.
If these are the type of spies sent to us... Then we are done...!!! Trust me totally done [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji175] [emoji116]
IMG_20180209_033800_631.jpg
 
Unakabidhi flash na laptop kwa mikono yako mwenyewe
Umenikumbusha tukio moja la prof kumfanyia research mwanafunzi wake. Nakumbuka kuna mtu nilimpaga A ya jurisprudence, simply bse alikuwa ni demu wa huyo colleague (prof) 2 decades back...anyway, ndo maisha yalivyo!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom