Ngozi Joram
JF-Expert Member
- Sep 9, 2016
- 662
- 545
Unafahamu kuwa Marekani ni nchi inayoongoza kwa mauaji yaani watu kuuana? Kama ilivyo Afrika Kusini? Au unalijua tukio la september 11 pekee? Unajua US maraisi wawili waliuawa kaa risali mbona tukio lilijirudia? Changamoto zipo bse mifumo hii ya usalama imebuniwa na wanadamu si malaika ndo maana kuna mianya ya waovu kupenya.Mkuu mfano wa marekani haufanani..... Udhaifu sio tukio la september 11 ila lingejirudia rudia ndio ungesema marekani ina udhaifu ila kwakuwa tukio kma lile halijajirudia marekani imeprove wako vzuri intelijentsia
Ssa turudi TZ kapotea saanane.... Kaja lisu kumiminiwa risasi....kaja azory.... Bado hatujui makinikia yaliibiwaje.... Almasi tukapigwa.... Tembo wameuzwa je huoni udhaifu upo TISS
I hope awamu hii watajirekebisha maana wametucost sana
Niliuliza swali- nitajie operation tatu pekee unazozijua ambazo majasusi wetu Tz walifanya kuilinda nchi. Kama hujui basi huna sababu ya kushabikia ukilingajisha wakati huna taarifa. Yafaa tufanye ulinganifu tukiwa na taarifa za kweli walau 70%kweli kwa level yetu kama raia. Kuliko kubishana hapa kishabiki. Kumbuka ujasusi si sawa na siasa. Kuna issues kuzielewa zinahitaji ufuatiliaji wa karibu na uwezo wa kutafsiri matukio. Maana unawezaona kitu fulani kimefanyika lkn kina maana tofauti kabisa na kilivyoonekana machoni penu.