Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
afu mi najiuliza hivi kwa nini wakenya na wanyarwanda wanatuchukia sana sisi wabongo???afu ukiangalia wamejazana kinoma huku dar!!
acha ushamba na ulimbukeni wewe.Rwandese ni 1 ya jamii haijawaikua na shobo na mtu yeyote hasa mwafrica we live with our ego tafuta pa kupunguzia kuisoma namba kama wamejaa Dsm why dont u chase them to their home kama walivofanya south africa shame on u mtz.
una background zipi kwamba unachukiwa? acha kuwa na mawazo ya kizamani wewe.afu mi najiuliza hivi kwa nini wakenya na wanyarwanda wanatuchukia sana sisi wabongo???afu ukiangalia wamejazana kinoma huku dar!!
wabongo ni watu wa porojo mingi [emoji23]Watz kila mgeni ni spies. Tanzanians know more about their neighboring country than they know about their own country. Funny people indeed.
acha ushamba na ulimbukeni wewe.
wabongo ni watu wa porojo mingi [emoji23]
poa!una background zipi kwamba unachukiwa? acha kuwa na mawazo ya kizamani wewe.
Hata hivyo Unaonekana kama we ni Mnyarwanda...!U probably among them....Myth ni nyingi sana kuhusu huyu President. Kuna mtu atakuja hapa soon atasema na mimi ni Spy wa Rwanda [emoji3]
hamna shobo sasa ulikuwa unafanya nn bongo?? huko dakar unafanya nn?? si ungebaki kwenu upambane na kagame?? it seems wewe si mnyarwanda kama unavyotuamisha hapa!!wengi wao walikuja kama wakimbizi huku bongo na tunakaa nao sana tu huku tandale,vingunguti huku wamejazana ile mbaya,afu wengi wao wanajificha kwenye makanisa ya kisabato yan wamekuwa kama wabongo tu!!hii ndo Tanzania hatuna haja ya kuwatimua kama mnamind kutuponda tupondeni tu!! kama kutuchora mtuchore tu fresh!!wewe tu ila wenzako wana heshima sana na Tz yetu...!!(we mwenyewe bongo unaikubali ila unajikuta mzalendo na Rwanda yako) au siyo???Rwandese ni 1 ya jamii haijawaikua na shobo na mtu yeyote hasa mwafrica we live with our ego tafuta pa kupunguzia kuisoma namba kama wamejaa Dsm why dont u chase them to their home kama walivofanya south africa shame on u mtz.
Hata hivyo Unaonekana kama we ni Mnyarwanda...!U probably among them....
Ofcorse you should have to be proud of your country.niweweseke tena wewe si mzima kichwani.unatumia mmea nini.Weweseka sana ila We Proudly sana kua Rwandese nchi kama wilaya ya Ilala
Ofcorse you should have to be proud of your country.niweweseke tena wewe si mzima kichwani.unatumia mmea nini.
are you out of your common sense? You just dilly dally ...here & there .nini kinakusumbua?Pambana na hali yako subirieni reli ya umeme labda wa powerbank na Ela za makinikia
are you out of your common sense? You just dilly dally ...here & there .nini kinakusumbua?
sio mzima wewe .hii ndio side effect ya bangi [emoji90][emoji90]Sulphuric acid is a strong base or acid
aahhaaaa poa mi ndo maana nimekuambiaje siku ukidondoka bongo we nicheck tu...!!kuna wanyarwanda kibao tuu tena wanaipenda Rwanda yao kuzidi wewe!!Hao malaya wana ID au passport nini mnajitekenya na kucheka chezea Rwandese.
sio mzima wewe .hii ndio side effect ya bangi [emoji90][emoji90]